Laiti kama Camera zisingekuwepo! DIAMOND angeweza kufanya hivi ?

Laiti kama Camera zisingekuwepo! DIAMOND angeweza kufanya hivi ?

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,437
Reaction score
2,043
1524691_707697492585401_1352204701_n.jpg
 
Tatizo lipo wapi? Kitu mpunga, sahani imeoshwa vizuri; wamekaa kwenye jamvi na sio jalalani....mbona simpo tu? Hata hao watoto ukiwaangalia, wale sio wale wachafu wachafu ambao inzi huwa hawachezi mbali na walipo wao.
 
Ni msaniio kila kitu pichaa ili waongeleweeee
 
..na asingekua star camera zingemmulika kila aendako? Halafu na ww ungepost nn hapa? Hivi waafrika mtaacha lini uchawi
 
Mimi ni msanii mimi ni msanii kioo cha jamii
 
Kwani huko tandale alikuwa anakula mezani na kijiko mwacheni bana apumue.
 
Diamond anaandamwa jaman sasa hapo tatizo liko wapi jaman eti
 
Wamwache na yake maana hata akijamba mtasema. Mind ur own business coz hyo ndo life yake cameras n evrythn
 
Back
Top Bottom