Laiti kama Camera zisingekuwepo! DIAMOND angeweza kufanya hivi ?

Tatizo lipo wapi? Kitu mpunga, sahani imeoshwa vizuri; wamekaa kwenye jamvi na sio jalalani....mbona simpo tu? Hata hao watoto ukiwaangalia, wale sio wale wachafu wachafu ambao inzi huwa hawachezi mbali na walipo wao.
 
Ni msaniio kila kitu pichaa ili waongeleweeee
 
..na asingekua star camera zingemmulika kila aendako? Halafu na ww ungepost nn hapa? Hivi waafrika mtaacha lini uchawi
 
Hata Nape naye ni msanii? Maana kamera zinamfata aendako au anaziita ili kutuzingua tuu?

View attachment 145821


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Mimi ni msanii mimi ni msanii kioo cha jamii
 
Bongo hamna msanii kuna wauza poda tu!
 
Kwani huko tandale alikuwa anakula mezani na kijiko mwacheni bana apumue.
 
Diamond anaandamwa jaman sasa hapo tatizo liko wapi jaman eti
 
Wamwache na yake maana hata akijamba mtasema. Mind ur own business coz hyo ndo life yake cameras n evrythn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…