Laiti kama Rais wa Tanzania angekuwa anasemwa na anaowatumbua!...

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,505
Reaction score
40,002
Naomba tu niseme, kama Rais wa Tanzania angekuwa anasemwa na anaowatumbua basi tungeona maajabu.

Naandika tu mistari michache. "Asikudanganye mtu, hakuna jambo lolote lile analofanya mteule wa Rais bila kuwa na idhini ya Rais"

Aisee acheni tu watu waendelee kuilinda heshima ya Rais wa nchi ili mambo yaende!
 
Kama maneno yanauwa mfumo ukimtema atapata tabu Sana watu watafunguka makavu live live kuliko sasa wanaogopa uhujumu uchumi.Kiongozi Wa nchi yafaa mwenye ngozi nene
 
.
Your browser is not able to display this video.


Jr[emoji769]
 
Ukimsema sasa hivi uwe umeandika wosia kabisa..

Ni vema kivuka mto unapofika darajani. Ni sehemu salama kwa uvukaji.
 
Utaambiwa

Your boss is always right.
 
Kama maneno yanauwa mfumo ukimtema atapata tabu Sana watu watafunguka makavu live live kuliko sasa wanaogopa uhujumu uchumi.Kiongozi Wa nchi yafaa mwenye ngozi nene
Kina nani waliokuwa kwenye serikali ya Kikwete na sasa hivi wanafunguka makavu!
 
True..
Lugola, Andengenye na Katibu Mkuu wa Wizara hawawezi kwenda kusaini mkataba wa chochote kile tena kinacho involve pesa nyingi vile bila Mkuu wa Nchi kuridhia..
Tatizo ni mgawo wa 10% hapo bwana Mkubwa kazimwa ndio kuwatoa nishai namna ile kwa kuwatumbua..
Jiwe mpigaji tu na kila deal chafu yumo.
10% alizovuta kwenye manunuzi ya Ndege ni ngapi??
Halafu eti MZARRRREEENDO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…