Kanitania vya ndani kabisa hadi nikajiuliza huyu ananijua au kitu ganiHayo matani ya kweli yaani mulemule
Kanitania vya ndani kabisa hadi nikajiuliza huyu ananijua au kitu gani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Acha ujinga. Kwanza baadae ntakuchek tukalewe ndugu yangu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vice versa is true mfyuuuu
Mna shida sana nyieInamaana hapa hata tunatamani Avatar na majina fake tu!
Dah! Wanaume sisi jamani tumeumbwa mateso tu.
Nimpendaye hujaweka jina lake sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wowowo nipate wapi shunie mm flatscreen sio ya nchi hii muosha naniliuNakuona na wowoo lako shu_nie
muosha rungu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Acha ujinga. Kwanza baadae ntakuchek tukalewe ndugu yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe naumwa flu na sinywi dawa itapona tu. Huwezi kufa wewe. Nakuja Sinza saa kumi na mbili jiandaeNaumwa flue imenikamata hatari toka majuzi nameza dawa si nitakufwa nikianza na mapombe leo
Mwenyewe naumwa flu na sinywi dawa itapona tu. Huwezi kufa wewe. Nakuja Sinza saa kumi na mbili jiandae
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe naumwa flu na sinywi dawa itapona tu. Huwezi kufa wewe. Nakuja Sinza saa kumi na mbili jiandae
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka saa moja hazina nguvu. Ngoja nimuulize dokta wangu [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha ufwala nameza codril ujue unataka nife na nimemeza saa tano sijui
Debz bwana wee.D ndo nani?
Asije akawa ninayemfikiria maana itakuwa vita vikuu vya tatu vya dunia.
Mpaka saa moja hazina nguvu. Ngoja nimuulize dokta wangu [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app