Ma Sir MaQ
Member
- Aug 2, 2018
- 48
- 14
Usipo elewa haikuhusu [emoji8][emoji8]Unatamani mwana jf gani laiti angekuwa single halafu anatafuta! Ili ujaribu bahati yako!
Mfano wa mbitiyanza demi yn4 ray shunie mzigua mama Sabrina sky eslat heaven sent everyn salt kapeace ukyut hajar demiss
Na wengine kibao
muosha rungu
Kana anataka atuibie nalendwa kusikojulikanaKuna nini kinaendelea?
Basi atakuwa munoma, mistari ilikukonga moyo eeh? Hao ndo wale wanaume better usimpe chance ya kumsikiliza kabisa[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki kanichekesha!
-KANA- anakuaga na mistari Mweeh!
Umenikumbusha kuna Uzi mmoja alimdondoshea mtu mistari mpaka nikamnyooshea mikono. [emoji16]
Binti yangu mpoleeee kama mama yake.[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mi mwenyewe bado najifunza, nikifikisha 18 years niwe nimeiva kiufundi.Aseh!, hebu anzisha Uzi maalum wa mistari ya kutokea. Ili wengine nao wapatepo ideas!
Basi atakuwa munoma, mistari ilikukonga moyo eeh? Hao ndo wale wanaume better usimpe chance ya kumsikiliza kabisa
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Mi mwenyewe bado najifunza, nikifikisha 18 years niwe nimeiva kiufundi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mwee huja achaga since primary aisee sikuweziTeh na kweli nimezoea kudanganywa mweeh
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Hahahaha nimecheka hadi basi
Ashindwe asije akaniseduce jamaniTehe!, acha tu T ake.
Mistari inavyoshushwa kwa KANA, ukimsikuliza kidogo tu basi umekwenda na mawimbi huku umefumba macho..[emoji16]
Wacha bwana wacha!Heheh!, aseh basi kama ni hivi uta over cook...lol!
Sipati picha manzi wako atakavyokuwa anapewa mistari kwenye kila tukio..
Heaven Sent
Heheh!, aseh basi kama ni hivi uta over cook...lol!
Sipati picha manzi wako atakavyokuwa anapewa mistari kwenye kila tukio..
Heaven Sent
Aisee hebu iache maana kama nakuona unavyo itamka hiyo mwe sababu ipo kichwaniHahahaha nimecheka hadi basi
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Nmeona jamaa analalamika umepiga kufuri PM hakuingiliki.Ashindwe asije akaniseduce jamani
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Ashindwe asije akaniseduce jamani
Sent from my SM-N920C using Tapatalk