Bana unanijua me nilivyo mfilipinoUpo busy unatizama juu huku unasmile tu, kumbe unakumbuka lyrics za kana mweeh
Sent from my SM-N920C using Tapatalk
Aisee hiyo avatar ila we mkuu unafurahisha sana mshana anapata taabuu sana ... Nilikua nakutania tu mrs wa mchawi ... Ncje rogwa mie nkajikuta nipo kenya talk sa hivi maana hashndei kitu yule mpare
Avatar kitu nyonyo mto originalAisee hiyo avatar ila we mkuu unafurahisha sana mshana anapata taabuu sana ... Nilikua nakutania tu mrs wa mchawi ... Ncje rogwa mie nkajikuta nipo kenya talk sa hivi maana hashndei kitu yule mpare
a e i o u
Huyo wa kulia anafanana na aliyewahi kuwa mchepuko wanguAisee hiyo avatar ila we mkuu unafurahisha sana mshana anapata taabuu sana ... Nilikua nakutania tu mrs wa mchawi ... Ncje rogwa mie nkajikuta nipo kenya talk sa hivi maana hashndei kitu yule mpare
a e i o u
Wanafunz hao mkuu ... Mmoja hapo ni mdg wang
Basi huyo ambaye kwangu huku anaonekana mkono wa kulia anafanana na mchepuko wanguWanafunz hao mkuu ... Mmoja hapo ni mdg wang
a e i o u
Dooh ... Una mchepuko .... Mshana Jr njoo huku ndugu mkeo anachepukaBasi huyo ambaye kwangu huku anaonekana mkono wa kulia anafanana na mchepuko wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi natamani cheupe (mama sabrina) angekua hajazaa, Mama Sabrina popote ulipo cheupe,nikipata pesa nakuja mwanzaUnatamani mwana jf gani laiti angekuwa single halafu anatafuta! Ili ujaribu bahati yako!
Mfano wa mbitiyanza demi yn4 ray shunie mzigua mama Sabrina sky eslat heaven sent everyn salt kapeace ukyut hajar demiss
Na wengine kibao
muosha rungu
So, should I get my Sukhoi ready for the ride?
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamii forum na mapenzi ya hisia,hapo unakuta jamaa anamvutia hisia Mzigua90 kuwa ni bonge la demu alafu unakuja kutana na kitu cha kawaida mchina anasubir[emoji23][emoji23][emoji23]ila jamii forum raha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuuuuu
Atakua ananijua huyu mkuu... maana nina flat kama lotee halafu ananisem huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasunya nini kwani aunt??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuuuuu