Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Kwasababu anawapigia masebene ndiyo maana kiba alimkimbia, kila ngoma sebene kila ngoma sebene akaona anataka nigeuza awiloAbbah process ila kwangu producer wa kizazi hichi namkubali Sana Man Water combinenga ni mbuninifu Sana na mabeat yake yapo unique sijui kwanini Wasanii hawapendi kumtumia
Kiba hakumkimbia Man walter,Kiba alikuwa anadaiwa ngoma alizotengenezewa so wakakorofishana.Kiba ana nyimbo nyingi sio sebene katengenezewa na Man walter na hata hizo sebene ni nzuri sana..Binafsi naona kiba kapwaya tangu aachane na Man Walter.Kwasababu anawapigia masebene ndiyo maana kiba alimkimbia, kila ngoma sebene kila ngoma sebene akaona anataka nigeuza awilo
Alimkimbia ndio maana alienda rudia ngoma zote alizokuwa amerekodi maana alikuwa kamrekodia masebene.Kiba hakumkimbia Man walter,Kiba alikuwa anadaiwa ngoma alizotengenezewa so wakakorofishana.Kiba ana nyimbo nyingi sio sebene katengenezewa na Man walter na hata hizo sebene ni nzuri sana..Binafsi naona kiba kapwaya tangu aachane na Man Walter.
Abidady na si Habidad. No kweli jamaa kwa masebene anapenda sana.Alimkimbia ndio maana alienda rudia ngoma zote alizokuwa amerekodi maana alikuwa kamrekodia masebene.
Hata aje ambayo si sebene ilibidi aende kwa habidad maana walter angelipga sebene
Asante kwa kunirekebishaAbidady na si Habidad. No kweli jamaa kwa masebene anapenda sana.
Alinichekesha wakati anasema kiba kamkimbia bila kulipa. Akasema kwanza kuna ngoma la sebene ana hakika lingemweka alikiba katika nafasi bora akadai yeye analiita sijui akupe abele lina mapigo ya congo.Abidady na si Habidad. No kweli jamaa kwa masebene anapenda sana.
hahahaha dah hizo ngoma za sebene wakati wake umepita kidogo ingawa unaweza kurudi.Alinichekesha wakati anasema kiba kamkimbia bila kulipa. Akasema kwanza kuna ngoma la sebene ana hakika lingemweka alikiba katika nafasi bora akadai yeye analiita sijui akupe abele lina mapigo ya congo.
Kwahiyo unataka kusema Ali kiba hana uamuzi kwa biti anazotengenezewa? Kwamba solution aliyoona ni kukimbia?Alimkimbia ndio maana alienda rudia ngoma zote alizokuwa amerekodi maana alikuwa kamrekodia masebene.
Hata aje ambayo si sebene ilibidi aende kwa habidad maana walter angelipga sebene
Sasa kwanini alikimbia akarudia nyimbo alizokuwa keshatengeneza man walter. By the way man walter anadai yeye ndo alimbadilisha alikiba style wakati amepoteza dealerKwahiyo unataka kusema Ali kiba hana uamuzi kwa biti anazotengenezewa? Kwamba solution aliyoona ni kukimbia?
Walter katengeneza hit ngapi ambazo sio sebene? Kama ali kiba alitaka biti ambazo sio sebene angepata tu,au angeenda kurekodi kwingine bila kuharibu uhusiano wake na walter.Sasa kwanini alikimbia akarudia nyimbo alizokuwa keshatengeneza man walter. By the way man walter anadai yeye ndo alimbadilisha alikiba style wakati amepoteza dealer
Shida yako unajua Manwater ngoma kamtengenezea kiba pekee kuna nyingi kafanya za maana na wala si zamasebene mfano mzuri ni ile ya Timbulo & Baraka the prince, 20%, na zingine za JideKwasababu anawapigia masebene ndiyo maana kiba alimkimbia, kila ngoma sebene kila ngoma sebene akaona anataka nigeuza awilo
We ndo wasema, ila ManWalter mimi namjua toka yuko kwa mwalimu wake Prod. Kameta aliyetengeneza nyimbo za Mr. Nice. Hapa tunamzungumzia Alikiba na mimi namwongelea Alika. Najua katengeneza hata ngoma ya Tabasamu ya Mr. Blue, Joto Hasira, Yahya za Lady Jaydee, najua kwamba katengeneza Mapenzi kitu gani ya MB doggy, Sagaplasha ya MB doggy, na hits kibao.Shida yako unajua Manwater ngoma kamtengenezea kiba pekee kuna nyingi kafanya za maana na wala si zamasebene mfano mzuri ni ile ya Timbulo & Baraka the prince, 20%, na zingine za Jide
Yeye Walter mwenyewe ndiye alisema alikutana na alikiba akiwa amepotea hajui anarudi vipi, ndo akamtengenezea dushelele, baada ya miaka tena akaja kumrudisha na mwana. ALisema yeye ndiye alimbadilisha alikiba akampa hiyo style ya masebene. Sasa bwana ally baada ya kurudi labda aliyachoka akaona aingie mitini. Na nyimbo alizokuwa amerekodi kwa man walter alizirudia mfano Walter alidai Mshumaa alikuwa ashairekodi akashangaa kairudia, tena akaweka na lile lisauti kama la walter la sina eeh.Walter katengeneza hit ngapi ambazo sio sebene? Kama ali kiba alitaka biti ambazo sio sebene angepata tu,au angeenda kurekodi kwingine bila kuharibu uhusiano wake na walter.
Sasa hapo shida sio ya Man Water ni ya Kiba mwenyewe usimsingizie Man WaterWe ndo wasema, ila ManWalter mimi namjua toka yuko kwa mwalimu wake Prod. Kameta aliyetengeneza nyimbo za Mr. Nice. Hapa tunamzungumzia Alikiba na mimi namwongelea Alika. Najua katengeneza hata ngoma ya Tabasamu ya Mr. Blue, Joto Hasira, Yahya za Lady Jaydee, najua kwamba katengeneza Mapenzi kitu gani ya MB doggy, Sagaplasha ya MB doggy, na hits kibao.
Ila hapa mimi nazungumza kazi za alikiba za miaka ya hivi karibuni.