Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Ukiangalia kwenye ramani unaona kabisa kuwa hili tumelimega sisi wenyewe pia. Linganisha na Ziwa Tanganyika ramani ilipopita. Kisha njoo Ziwa Nyasa.
Unaona tofauti? Je hii haimaanishi Malawi wapo sahihi kusema lote ni lao na ushahidi huu hapa ramanini?
Unaona tofauti? Je hii haimaanishi Malawi wapo sahihi kusema lote ni lao na ushahidi huu hapa ramanini?