Lake Nyasa/Malawi walishalichukua Ziwa lao? Ni kama tumepokonywa au tumeliacha?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Ukiangalia kwenye ramani unaona kabisa kuwa hili tumelimega sisi wenyewe pia. Linganisha na Ziwa Tanganyika ramani ilipopita. Kisha njoo Ziwa Nyasa.

Unaona tofauti? Je hii haimaanishi Malawi wapo sahihi kusema lote ni lao na ushahidi huu hapa ramanini?

 
Angalia ramani ambazo chanzo (source) chake ni Tanzania.
 

Attachments

  • images.jpeg
    22.4 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…