Mama kwenye upande tu wa national Parks, Tanzania inazo zaidi ya 15, hujui hata kama Selous ni national Park kubwa Africa, tutazungumzia ipi tutaacha ipi? Hivi karibuni zitaongezwa national Parks mpya mbili, Burigi na (. ) then hapo sijasema game reserves ambazo hazina idadi kamili and all of them are full of wildlife.Wow! It's beautiful. Mbona hampendi kulizungumzia?
Sema mwaswast hapana beat around the bush.
Your rag tag rebbel like army is being hacked to death by machete wielding child soldiers in The Congo alafu unakenua meno.Our military ain't looting supermarkets! And Speaking about Lake Nyasa, Malawi claiming the lake is theirs sasa mbona hawajathubutu kulichukua? You think Tanzanian Military ni kama ya Kenya mpaka isaidiwe na private units? Pussies!
Upanuzi wa Kigoma Airport utafungua fursa!Majirani hatuzungumziii lake tanganyika kweli?hua hua tunaligusia gusia utalii,shughuli za uvuvi na usafiri, Mimi nmewah fika Mkoa wa Rukwa nmeliona Ilo ziwa kwa macho ofcz ni kubwa sana na lonafaidisha sana wakaazi wa maeneo hayo,
Samaki maarufu wanaopatikana huko huitwa migebuka,na dagaa wake hua wanabei ya juu kuliko dagaa wengine wote nnaowafaham!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga Tz ni giant wa East and Central Africa hata huko DRC hawawezi kutuletea kelele za mipaka, Watanzania tunaheshimika sana East DRCWait for boundary disputes soon as DRC stabilizes hapo ndio utajua Tanzagiza ni waiha and very weak military wise kama walikuwa wametishiwa na landlocked tiny Malawi je DRC wataiweza bila kusahau huko walipigwa mapanga hadi kikaeleweka.
Yes am bragging because my Great Tanzania is my bae, I know you wish you could call it home but unfortunately you found yourself in the massive African shithole powerhouseYou really like bragging. How much does the Arab pay you bigot?
faizafoxy should teach you more lessons.
no island is in the Tanzanian side 4-congo 2-zambiaHawa wajinga hawajui kama Tanzania ina dominate hii lake, kwanza kitendo cha lake Tanganyika linalopakana na nchi nne kuitwa kwa jina la nchi moja tu Tanganyika (Tanzania) hiyo ni notion tosha kwamba Tanzania ina vital influence kwenye hilo ziwa, hata DRC kuna province inaitwa Tanganyika province hao ndio watu ambao tunaongea nao lugha moja na tunaelewana
Sasa nikija kwa faida za kua na lake Tanganyika ndio balaa, sababu kuanzia tourism mpaka fishing tunalifaidi haswa ziwa hili
View attachment 991053View attachment 991054View attachment 991055View attachment 991056
Do you know lake Tanganyika like Victoria and Nyasa almost 50% waters are in Tanzania respectively,no island is in the Tanzanian side 4-congo 2-zambia
*shithole powerhouseAt least you confessed that Kenya is an economic powerhouse. It's one of the most influential countries in Africa.
Start marketing your country. It's only known in jf
You mean old rickety vessels that sink and kill hundreds of people?Just like Lake Victoria, the most morden vessels belong to Tanzania!
Mv Nyerere wasn't old! Human error made it capsized! BTW Wap zenu mpya?You mean old rickety vessels that sink and kill hundreds of people?
Mbona ni expensive kuliko za Lake Victoria?Majirani hatuzungumziii lake tanganyika kweli?hua hua tunaligusia gusia utalii,shughuli za uvuvi na usafiri, Mimi nmewah fika Mkoa wa Rukwa nmeliona Ilo ziwa kwa macho ofcz ni kubwa sana na lonafaidisha sana wakaazi wa maeneo hayo,
Samaki maarufu wanaopatikana huko huitwa migebuka,na dagaa wake hua wanabei ya juu kuliko dagaa wengine wote nnaowafaham!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenyewe ni wakubwa na hua watamu sana..nakumbuka kg ilikua Tsh 6000 kwa kule Rukwa ni kama $3 hvMbona ni expensive kuliko za Lake Victoria?
Kwa wale vijana msiojua, wale Sangara wa Lake Victoria mbegu yao tulitoa Lake Tanganyika, walipofika pale wakaanza kula Tilapia na specie ikawa ni giants compared to the original iliyopo lake Tanganyika...Wenyewe ni wakubwa na hua watamu sana..nakumbuka kg ilikua Tsh 6000 kwa kule Rukwa ni kama $3 hv
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni expensive worldwide usifananishe na takataka za migingoMbona ni expensive kuliko za Lake Victoria?
Cause r unique in comparison to artificial Victoria fillets!Mbona ni expensive kuliko za Lake Victoria?