Laki si pesa, buku ni pesa

PRESIDA TO BE..

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
302
Reaction score
200
Ndugu wanaJamiiForums,

Nimekaa nikawazawazua mwenendo wa hali ya hewa inavyokwenda nikakakumbuka hako ka msemo ...ahahaaa

Siku hizi hata buku ni pesa hahaahhaaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata waliozea kuishi kama malaika , buku 10 sasa pesa kwo, tunao huku mitaani
 
Ndugu wanajamii forum..
Nimekaa nikawaza wazua mwenendo wa Hali ya hewa inavyokwenda nikakakumbuka hako ka msemo ...ahahaaa

Siku Hz hata buku ni PESA hahaahhaaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo buku tu bali ata mia ni pesa

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Eti wanajukwaa ni kweli kwa upepo huu wa sasa msemo wa "LAKI SI PESA"unatumika tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…