Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naikumbuka sana hii show ya kanda bongo man,ni kweli kabisa watu walilipa laki mbili siti za vip ili kumuona.miaka 20 iliyopita watu walilipa laki mbili kumtazama kanda bongo man
leo hata nusu tu ni unthinkable
Ni wazi kwamba haina thamani hata awamu iliyopita ilikuwa haina thamani pia lakini je inapatikana mpaka kufikia hatua ya kusema laki si pesa?Bado sio pesa. Leo jioni kuna mtu kanilipa laki lakini najihisi kama nimepokea elfu 10000 maana mpaka sasa nimeitumbua imebaki 9000 kwenye mpesa.