LAKINI, hiyo shombo amletea nani?


Kigarama mie humkumbuka Shabaani Robert zaidi zaidi tatizo la kizazi cha leo..............wanabwatuka na kimombo hewa.......fasihi simulizi wameipiga kisogo, vile...........
 
atakuwa hajui katiba yetu

Kaizer......................mmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh......................naona kila mahali ni katiba tupu..........
 
ruta vipi mwezetu leo umetedwa nini? pole kwa yaliyokusibu umeandika uzi kwa hisia kali sana.penye penzi hapakosi udhia, na penye udhia penyeza rupia.
 
ruta vipi mwezetu leo umetedwa nini? pole kwa yaliyokusibu umeandika uzi kwa hisia kali sana.penye penzi hapakosi udhia, na penye udhia penyeza rupia.
hisia zangu a kiuandishi hazina uhusiano na maisha yangu............hicho ni kipaji cha kufikisha ujumbe mahali pake..............na ni mbinu ya usanifu nguli tu.............usisome zaidi ya hapo.......
 
Ruta,Hilo nalo neno...unanifanya nishtuke ukirejea home nianze kunusa nusa isjekua unanitupia vijembe bibi jinga mali yako inaliwa mie nimelala tuu.
 
Zumbemkuu mbona wanitia kichefuchefu mie?
mkuu ruta, ukiwa mwaminifu kwenye ndoa yako wala hutapata kichefuchefu, mafisadi wa ngono ndo yata/yana watokea puani mapilau wanayofakamia kwa wizi, teh teh teh!
 
Kweli kabisa, mwenye kisu, anakula nyma taratibu, na akirudi home.. kimya...??
maisha yanakwenda kama kawaida,
ndio maana siku hizi married couples ni kama ndege; wanapokula na wanapolala ni tofauti kabisa.
 
wanaojisahau na kurudi na shombo majumbani wafunguke tusikia miziki yao kwa wale wanaowaringishi hizo shombo!
 

Ujumbe mzito sana huu
 
Mkuu salute! Nimeipenda sana post yako,nimekugongea ka like ila natumia tochi
 
RUTA ,wewe mswahili safi ,labda alifanya kwa dhamira ,kwan nan asiye jua kuwa shombo n MAKRUKH, akaona nataka nijuilikane kama leo nimechoea maneno ya huku kwetu kisiwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…