anza kwa gia ya kuwa mtani mtani kisha mgeuze rafiki wa kawaida hapo ndipo utapomsoma kuwa ni liberal au mhafidhina, then from there najua utasonga tuu tena kwa urahisi as far as ulishamjua.Very good Marytina,
Exactly kwamba wanachelewa kupata wenza...mi ninawezaje basi kumjua kwamba huyu ni mhafidhina au liberal kwa mara ya kwanza tu? Na ukumbuke huenda nia yangu ni long term tufunge ndoa tupate watoto sasa akizungusha zungusha ndo bahati inapotea ivo!
Hahaha tatizo hommie kazoea "one night stand" sasa kakutana na"six months stand" kakosa mbinu! Uzee nao tabu!
anza kwa gia ya kuwa mtani mtani kisha mgeuze rafiki wa kawaida hapo ndipo utapomsoma kuwa ni liberal au mhafidhina, then from there najua utasonga tuu tena kwa urahisi as far as ulishamjua.
Kuna jamaa mbishi sana (wakati uleeeeee tukiwa matinija wa vyuoni).....'alicheleweshewa' wiki moja, basi akaapa kwamba ashapotezewa wiki nzima, kwa hiyo lazima apate....ikaenda hadi mwezi, jamaa kaapa mwezi wake haukupotea bure.....kaendelea ikawa mwaka, sasa yule mtongozwa akawa na uhakika kwamba amepata mme bora.....kamtunuku....jamaa kasepa.....so was 1 year stand...
Simjibii mjukuu hommie lakini hapo kwenye bold:
Kuna tofauti kubwa sana ya kumtongoza na kukubaliwa na mwanamke wa miaka 35 ukilinganisha na wa miaka 18...
Kwangu mie wa miaka 35 hana longolongo nyiiingi kama wa miaka 18.
Yes... kuna uhusiano mkubwa sana wa mtongozo na umri.
Sijafanya research thou! Kwahiyo sitegemei maswali.
Hahaha tatizo hommie kazoea "one night stand" sasa kakutana na"six months stand" kakosa mbinu! Uzee nao tabu!
No way......:nono::nono::lalala::lalala:Smiles..... make the job easier...
Kaizer,
Kwa umri huu na mengi niliyoyaona, nimeshindwa kujua kilichokusibu hadi ukaleta hili shauri barazani.
Ngoja kwanza nitafute ugoro kidogo labda nitawaelewa wachangiaji wengine?
Hivi tangu lini zimetungwa sheria na kanuni za kutongozana, kukubaliana, kupeana na hata kunyimana?
Babu DC!
No way......:nono::nono::lalala::lalala:
Babu in bold hapo hata mimi hapana elewa kwa kweli......
Now Smiles I understand why you were so quiet this afternoon................Very well said mydia.hahahahahah....... dah!!:msela::msela:
*He He He* :dance::dance::dance:
---Kaizer kwa kweli I would love to know kile kilichokuwa akilini kwako while u were posting this.......but I wont ask!!
--Guyz u are being soo unfair to women, coz no matter what they try to do and please u bado mtatafuta sababu na majina mengine kibao,
--Hilo suala la kwamba ukichelewa kukubali sijui ndio unachelewa kupata mwenza and blah blah blah....mimi sikubaliani nalo hata kidogo, kwa maana kabla hujamkubali mtu ni lazima ujue unamkubali mtu wa aina gani, and the level of understanding and sharpness vinatofautiana kwa kila mtu.
kama mtu imemchukua miezi sita basi that was what it took for her to know/understand that person better, na kwanza mkumbuke hapo kuwa mkiwa katika mikakati ya kutongoza huwa mnaenda mkiwa tofauti kabisa - pretense inazidi, but at the same time hakuna mtu anayeweza kujificha from their true personalities-so its like u are fighting against two personalities at the same time-and u would still complain mtu akichukua miezi sita??
--Give the ladies a break please....mnataka fasta basi na nyie hakikisheni u make the job easier!! go there ukiwa yourself ili mtu hata akifanya decision over night ajue what she is going to face, sio unaenda na sura mbili.....hadi aanze kui-uncover hiyo nyingine saa ngapi....?
Am just saying.......:msela:
Now Smiles I understand why you were so quiet this afternoon................Very well said mydia.
However hapo kwenye msisitizo.......I just wish ladies tungekuwa na uwezo wa kupafanyia kazi............coz most of us we tend to ignore this very important chance..so unaezakuta mtu anamsubirisha mwanaume (nikitumia kiswahili cha Kaizer) for ages ..........na bado hamchunguzi wala hajitahidi kumfahamu bali anakuwa anaona tu raha ya kufuatwa fuatwa .
Lakini hebu Kaizer tweleze 'kusubirisha' ana maanisha nini?? Ile ya baada ya kutamka matakwa anaambiwa tuwe marafiki wa kawaida kwanza au ile ya kuambiwa 'nipe muda wa kufikiria kwanza' and no more meetings?? Kwa sababu zote zina impact tofauti kwa kuwa kama umeambiwa lets be friends kwanza nadhani kwa binti serious anaweza akawa anamaanisha naye anakufeel na anataka kuitumia chance ya kuwa friends kwanza kama njia ya kukufahamu vizuri..... tofauti na yule anayeomba umpe muda wa kutafakari na kufikiria kisha msionane sasa sijui huyo kinachomfikirisha ni nini au anakwenda kuconsult watu??
Kaizer,
Kwa umri huu na mengi niliyoyaona, nimeshindwa kujua kilichokusibu hadi ukaleta hili shauri barazani.
Ngoja kwanza nitafute ugoro kidogo labda nitawaelewa wachangiaji wengine?
Hivi tangu lini zimetungwa sheria na kanuni za kutongozana, kukubaliana, kupeana na hata kunyimana?
Babu DC!
hahahahahah....... dah!!:msela::msela:
*He He He* :dance::dance::dance:
---Kaizer kwa kweli I would love to know kile kilichokuwa akilini kwako while u were posting this.......but I wont ask!!
--Hilo suala la kwamba ukichelewa kukubali sijui ndio unachelewa kupata mwenza and blah blah blah....mimi sikubaliani nalo hata kidogo, kwa maana kabla hujamkubali mtu ni lazima ujue unamkubali mtu wa aina gani, and the level of understanding and sharpness vinatofautiana kwa kila mtu.
kama mtu imemchukua miezi sita basi that was what it took for her to know/understand that person better, na kwanza mkumbuke hapo kuwa mkiwa katika mikakati ya kutongoza huwa mnaenda mkiwa tofauti kabisa - pretense inazidi, but at the same time hakuna mtu anayeweza kujificha from their true personalities-so its like u are fighting against two personalities at the same time-and u would still complain mtu akichukua miezi sita??
--Give the ladies a break please....mnataka fasta basi na nyie hakikisheni u make the job easier!! go there ukiwa yourself ili mtu hata akifanya decision over night ajue what she is going to face, sio unaenda na sura mbili.....hadi aanze kui-uncover hiyo nyingine saa ngapi....?
Am just saying.......:msela:
Kwahiyo Bob Kaizer wewe unataka ukiomba tu upewe hapo hapo, aisee hata kazi kuna kushoti listi, interview, probesheni and the like