"Lakini nyinyi mnaowasha moto.."Hii Aya Ina maana Gani?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Lakini nyinyi mnaowasha moto,
na kujifanyia silaha za mienge,
tembeeni kwa mwanga wa moto huo,
miali ya moto mliowasha nyinyi wenyewe.
Mtakachopata kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ni hiki:
Nyinyi mtalala chini na mateso makali.

Isaya 50:11

CCM mwenge wenu umesababisha Kila mtanzania alale Kwa mateso baada ya kuzipaisha Noah zetu za makinikia
 
Hii aya inapatikana ktk kitabu gani?

Pili kama uneipatia maana vipi tena kutuhoji wanaAdamu wenzio?
 
Inajaribu kuwataadharisha wenye madaraka(CCM),kwa mambo wanayotengeneza wao wenyewe kwaajili ya watu wengine,kwamba iko siku mambo hayo mabaya yatawarudia wao,na watalia na kusaga meno maana uchungu wake utakuwa usio na mfano.
 
Hii aya inapatikana ktk kitabu gani?

Pili kama uneipatia maana vipi tena kutuhoji wanaAdamu wenzio?
Huyu jamaa hana mawasiliano na mwenye hiyo aya. Inaonekana hana ushirikiano na mwenye aya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…