LaLiga: YANGA yapongezwa tena na LaLiga kwa kuchukua ubingwa wa ASFC

LaLiga: YANGA yapongezwa tena na LaLiga kwa kuchukua ubingwa wa ASFC

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Salaam Wana JF

Hatimye bado wakimataifa (YANGA) wameendelea ku make headlines duniani kwenye vyombo vya habari na mitandao duniani baada ya kuwapongeza mabingwa wa kombe la ligue kuu ngumu kuwahi kutokea Tanzania pia ubingwa wa shirikisho kombe la Azam

Issue nzima iko hivi ......leo ligue inayoongoza kwa viwango duniani LaLiga imeipongeza club ya YANGA baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la Azam Confederation Cup ambapo ni mara ya pili kwa mabingwa Hawa kupongezwa na LaLiga......Kitu ambacho hakijawahi kutokea Afrika ..

LaLiga wameandika hivi "Congratulation once again, YANGA SC on winning ASFC CUP 2022"

Bravo, What a year" [emoji122][emoji122]

Nawakumbusha ni YANGA tu ambayo ina iheshimisha Tanzania na Afrika nzima
Anyway tutegemee watalii wengi kuongezeka Tanzania kutokana na watu wengi huko duniani wanajadili ukubwa YANGA..
Maendeleo hayana chama
FB_IMG_16569352616839120.jpg
View attachment 2280818
 
Makolo tafadhalini sana! Tuacheni wananchi tuzipokee hizi pongezi kutoka Laliga.

Mpaka wakati huu, hakuna yeyote kati yenu aliye uchafua huu uzi. Hivyo ikiwapendeza, piteni hapa kimya kimya.
 
Makolo tafadhalini sana! Tuacheni wananchi tuzipokee hizi pongezi kutoka Laliga.

Mpaka wakati huu, hakuna yeyote kati yenu aliye uchafua huu uzi. Hivyo ikiwapendeza, piteni hapa kimya kimya.
Wanaogopa hata kupita[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom