Lamar nae Ni Illuminati..?!

Mtu huyu hawezi weka bila sababu,nashawishika kusema kuwa kwa kuwa ameweka kama identity yake basi ni member wa hiyo organization.Period
 
Mkuu Iza hata hiyo Avatar yako sijui kama unajua utendalo?!
 
Mtu huyu hawezi weka bila sababu,nashawishika kusema kuwa kwa kuwa ameweka kama identity yake basi ni member wa hiyo organization.Period

trust me wiselady,huyu kaweka lkn hajui maana yake na nina uhakika SIO MEMBER WA FREEMASSON.huyu ni bendera fuata upepo tu.memberz wa hiyo organization inasadikiwa kuwa ni watu wazito na matajiri wakubwa duniani kama kina bush,obama,jay z na wengine wengi,sasa mnataka kuniambia huyu LAmAR sijui naye yuko ktk class moja na hawa niliowataja?definetly not!
 
Kaiweka tu huenda hajui nini maana yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…