Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hivi hujui mwenyekiti wetu naye ni kocha? Sasa unasemaje timu ya wananchi haina kocha!Hatimaye klabu ya Yanga ambayo haina kocha, imemteua beki kisiki Lamine Moro kuwa Nahodha mpya wa kikosi hiko.
Bakari Mwanyeto pamoja na Mukoko watakuwa manahodha wasaidizi.
Nini maoni yako juu ya uteuzi huu? Nini hatima ya Haruna Fadhili Hakizimana Niyonzima ambaye amevuliwa unahodha klabuni hapo?
Hivi hujui mwenyekiti wetu naye ni kocha? Sasa unasemaje timu ya wananchi haina kocha!
Huku ni kuhangaika kupita kiasi,
It means hawajali wachezaji waliojitolea kwa kila hali?
Ila kiukweli anafaa kuwa captain
Nilitaka kuuliza hivi hiviYah ni kweli, sasa mfano kocha mpya akija akachagua nahodha wake asa itakuaje?
Captain wa timu sio lazima achaguliwe na KochaNilitaka kuuliza hivi hivi
Captain wa timu sio lazima achaguliwe na Kocha
Kwa nini ? timu za Ulaya macaptain wanapatikanaje kama ingekuwa hivyo si kila kocha akija atahitaji kuwa na Captain wake. Kubali au kataa mchakato wa kumpata Captain una mambo mengi sio lazima kocha ateue hata wachezaj some time wanapigiana kura, au uongozi wa timu unaamua tu mtu fulan basi.Only in Tanzania
Kwa kweli yanga bado mko nyuma sana 'yaan nahodha hachaguliwi na kocha"!!Captain wa timu sio lazima achaguliwe na Kocha