Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali, kocha wa Horoya anayemaliza mkataba wake, Lamine Ndiaye anaweza kutangazwa muda wowote kuwa kicha mkuu wa Simba.
Ameshawahi kufundisha TP Mazembe, Cotton Sports, Leopards na hata Senegal National Team.
Ngoja tuone kama watafikiana makubaliano na Simba.
Ameshawahi kufundisha TP Mazembe, Cotton Sports, Leopards na hata Senegal National Team.
Ngoja tuone kama watafikiana makubaliano na Simba.