Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Uefa wanakufaa hawa ngoja nuone,La Masia product
Messi ajaye huyu
Forca Barça
Hao uliowaraja ni wazee sana,wameumaliza mwendo,wapumzike kwa amannHivi safari hii mesi na christiano ronaldo hawamo?
Wanakufa kwa nani?Uefa wanakufaa hawa ngoja nuone,
HawamoHivi safari hii mesi na christiano ronaldo hawamo?
City, bayarn au interWanakufa kwa nani?
Hakuna wa kumfunga hapo, huyo Bayern tayari kashachezea kichapo kwenye UCL kutoka kwa BarçaCity, bayarn au inter
Una uhakika siyo mtoto wake huyo?Mchezaji kinda wa Barcelona, Lamine Yamal, amewasili katika hafla ya utoaji wa tuzo za Ballon d’Or akiwa ameongozana na mdogo wake.
View attachment 3137692
Soma, Pia:
• Rodri atua na magongo ndani ya Paris kupokea Ballon d'Or aliyoporwa Vinicius Jr
• Majina ya Vinicius Jr na Jude Bellingham yaondolewa kwenye Viti vyao katika Hafla ya Ballon d’Or usiku huu
• Nani kuwarithi Messi na Ronaldo katika Ballon d'Or 2024?
Visca Barca.La Masia product
Messi ajaye huyu
Forca Barça
Nani huyu?Nae kijana wetu wa matofalini nae hakua nyuma katinga na bwanga lake
View attachment 3138514