Lamine Yamal for Ballon D'or. Nani anapinga?

Maelezo haya yandhirisha kuwa hakuna mtu anayezaliwa akiwa na uwezo fulani hivyo hakuna kipaji.
 
Maelezo haya yandhirisha kuwa hakuna mtu anayezaliwa akiwa na uwezo fulani hivyo hakuna kipaji.
😂😂 kaka ajabu sana unashindwa kutofautisha nature na nurture!!

Mfano wako wa kiziwi ni more about nurturing..
Sio kipaji ambacho ni nature! Umiza kichwa mkuu
 
😂😂 kaka ajabu sana unashindwa kutofautisha nature na nurture!!

Mfano wako wa kiziwi ni more about nurturing..
Sio kipaji ambacho ni nature! Umiza kichwa mkuu
Kitu ambacho ni natural ni instinct peke yake. Yote yaliyobaki nurture.

Umeshawahi kukutana na mtu aliyekuzwa na wanyama?
 
Maelezo haya yandhirisha kuwa hakuna mtu anayezaliwa akiwa na uwezo fulani hivyo hakuna kipaji.
Big no! Yaan Hapana kubwa, mfano wa kiziwina kipofu hauthibitishi kwamba hakuna kipaji, hapo umebakanisha mambo!!

Unasiganisha mambo kati ya kipaji cha asili (nature) na mazingira au mafunzo (nurture) katika kukuza uwezo wa mtu.

Uwezo wa binadamu unaweza kuendelezwa kwa kiasi kikubwa kupitia mazingira, mazoezi, na mahitaji lakini kipaji kina nafasi ya juu kabsa..

Ubongo wa binadamu una uwezo mkubwa wa kubadilika kulingana na hali, kwa hiyo mtu anaweza kufikia kiwango cha ustadi hata bila “kipaji cha kuzaliwa,” endapo tu ataweka juhudi sahihi, lakini mwenye kipaji atafikia kiwango cha ustadi cha juu zaidi akiweka hizohizo juhudi zilizotumiwa na asiye na kipaji✍️✍️


Kipaji bado kina nafasi yake. Kuna watu wanaozaliwa wakiwa na:

Uwezo wa kipekee wa kumbukumbu

Hisia kali zaidi (kama kusikia kwa undani au kuona kwa haraka)

Uwezo wa kujifunza haraka zaidi kuliko wengine
Yote hiyo ni ishara kwamba baadhi ya watu wana vipaji vya asili.

Maelezo yako ya awali hayakanushi uwepo wa vipaji, bali yanaonyesha kuwa mazoezi, mazingira, na hali ya maisha vinaweza kukuza uwezo mkubwa hata kwa watu ambao hawakuonyesha kipaji mwanzoni.

Vipaji vya kuzaliwa vipo, lakini haviwezi kustawi bila juhudi, motisha, au mazingira sahihi.

Kwahiyo ni kipaji kwanza ndo kinachoshawishi scouts wakijua lazma wataenda kuluendeleza kwa mazoezi
Na kukufundisha kuwa na juhudi
 
Kitu ambacho ni natural ni instinct peke yake. Yote yaliyobaki nurture.

Umeshawahi kukutana na mtu aliyekuzwa na wanyama?
Yaaan kwenye suala la mpira unataka kuleta story za genie, kamala na amala wa 1920s huko!! Hahahahhahahahahah basi tuandalie neymar wako brother utuletee hapa
 
Mkuu unamfahamu panya magawa?
 
Yaaan kwenye suala la mpira unataka kuleta story za genie, kamala na amala wa 1920s huko!! Hahahahhahahahahah basi tuandalie neymar wako brother utuletee hapa
Mtoto akiwa mdogo sana akaonesha willingness juu ya jambo fulani then akaanza kupractice then anakuwa na uwezo wa hali ya juu.

Kitu chochote kinaanzia akilini.
 
Dogo hata goli 10 za ligi ameshindwa kufika halafu munahashukwa kama hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…