Lampard Amesema wakati akiwa na umri wa 18 Kama odoi hakuwa na kiwango kikubwa Kama odoi katika umri huo amesema anamjua vizuri na Kuna kitu atakiongeza ili awe bora zaidi.odoi msimu uliopita alifunga magoal 7 na assist 6 katika mechi 26 alizoanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.