H Hziyech22 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 15,351 Reaction score 21,362 Jul 7, 2019 #1 Lampard Amesema wakati akiwa na umri wa 18 Kama odoi hakuwa na kiwango kikubwa Kama odoi katika umri huo amesema anamjua vizuri na Kuna kitu atakiongeza ili awe bora zaidi.odoi msimu uliopita alifunga magoal 7 na assist 6 katika mechi 26 alizoanza.
Lampard Amesema wakati akiwa na umri wa 18 Kama odoi hakuwa na kiwango kikubwa Kama odoi katika umri huo amesema anamjua vizuri na Kuna kitu atakiongeza ili awe bora zaidi.odoi msimu uliopita alifunga magoal 7 na assist 6 katika mechi 26 alizoanza.