Angeongoza assist na magoli zaidi ya hao ambao hawapo kila konaScholes hakunaga....jamaa yupo kila kona katika kiwanja.....itachukua muda kuja kutokea wa aina yake....
Bado mwisho wa siku wote mtachagua kishabiki. Hao akina zizou akina pirlo pia wana maneno mazuri matamu kuhusu lampard na Gerrard kama walivyosema kuhusu scholes that's why nasema HAPA kitakachotumika zaidi ni mahaba Bora stats kidogo ndio ziwabebe.Hakuna cha stats wala nn zizzou mwenyewe ana assists na goal ratio ndogo lkn ni mido bora KBS..
Modric moja kati ya mido bora kbs lkn ana magoli 14 tu
Xavi Hernandez master pass ,play maker hatari ,ukikutana naye lzm upote kati
Anaendesha timu,anachezesha,anapooza mipira na kuiendesha timu atakavyo
Ukikutana na xavi uwanjani kazi yko itakuwa ni kukimbiza kvuli chake tu.magoli ni kazi ya washambuliaji
Ndio maana vilabu kama Madrid na Barca hawaangaiki na kiungo anayefunga wao wanakimbilia play makers .
1.Xavi
2.Scholes
3.Lampard
Scholes alizungukwa na mafundi wengi sana kama Beckham, Giggs, Cole, CR7 and the like waliokua wanauwezo wa kubadili matokeo ndo maana huwez ona aking'aa kwa statistics kama hivyo na kwa soka la England mtu kama Scholes hawez sifika tokana na style yake ya mpira,, angekua Spain angesifika zaidi,,,FIFA World XI Nominations
Gerrard 8
Lampard 8
Scholes 2
FIFA World XI Appearances
Gerrard 3
Lampard 1
Scholes 0
UEFA Team of the Year Appearances
Gerrard 3
Lampard 0
Scholes 0
UEFA Player of the year
Gerrard 1
Lampard 0
Scholes 0
Highest FIFA World Player of the Year Finish
Lampard 2nd – one time
Gerrard never in top 3, but very close
Scholes nowhere near top 3
Highest Ballon D’or Finish
Lampard 2nd – one time
Gerrard 3rd – one time
Scholes nowhere near top 3
Premier League Team of the Year Appearances
Gerrard 8
Lampard 5
Scholes 2
Premier League Player of the Month Awards
Gerrard 6
Lampard 4
Scholes 4
Premier League Young Player of the Year
Gerrard 1
Lampard 0
Scholes 0
Journalists’ and Writers’ Premier League Player of the Year
Gerrard 1
Lampard 1
Scholes 0
Players’ Premier League Player of the Year
Gerrard 1
Lampard 0
Scholes 0
Fans’ Premier League Player of the Year
Gerrard 2
Lampard 1
Scholes 0
England National Team Player of the Year
Gerrard 2
Lampard 2
Scholes 0
UEFA Euro Team of the Tournament
Gerrard 1
Lampard 1
Scholes 0
FA Cup Final Man of the Match
Gerrard 1
Lampard 1
Scholes 0
UEFA Champions League Final Man of the Match
Gerrard 1
Lampard 1
Scholes 0
Mimi naamini statistics kuliko maneno ya wachezaji quotes za wachezaji azinisumbui kujua nani bora kioo hakidanganyi
Mkuu labda watu wana angalia mataji lakini kwa uwezo binafsi Gerrard alikua boraFIFA World XI Nominations
Gerrard 8
Lampard 8
Scholes 2
FIFA World XI Appearances
Gerrard 3
Lampard 1
Scholes 0
UEFA Team of the Year Appearances
Gerrard 3
Lampard 0
Scholes 0
UEFA Player of the year
Gerrard 1
Lampard 0
Scholes 0
Highest FIFA World Player of the Year Finish
Lampard 2nd – one time
Gerrard never in top 3, but very close
Scholes nowhere near top 3
Highest Ballon D’or Finish
Lampard 2nd – one time
Gerrard 3rd – one time
Scholes nowhere near top 3
Premier League Team of the Year Appearances
Gerrard 8
Lampard 5
Scholes 2
Premier League Player of the Month Awards
Gerrard 6
Lampard 4
Scholes 4
Premier League Young Player of the Year
Gerrard 1
Lampard 0
Scholes 0
Journalists’ and Writers’ Premier League Player of the Year
Gerrard 1
Lampard 1
Scholes 0
Players’ Premier League Player of the Year
Gerrard 1
Lampard 0
Scholes 0
Fans’ Premier League Player of the Year
Gerrard 2
Lampard 1
Scholes 0
England National Team Player of the Year
Gerrard 2
Lampard 2
Scholes 0
UEFA Euro Team of the Tournament
Gerrard 1
Lampard 1
Scholes 0
FA Cup Final Man of the Match
Gerrard 1
Lampard 1
Scholes 0
UEFA Champions League Final Man of the Match
Gerrard 1
Lampard 1
Scholes 0
Mimi naamini statistics kuliko maneno ya wachezaji quotes za wachezaji azinisumbui kujua nani bora kioo hakidanganyi
Hizo takwimu nazo sio sababu, rejea mwaka 2010, Wesley Sneijder alichukua taji la Ulaya akiwa na Inter Milan na mwaka huo huo akaifikisha Uholanzi fainali ya Kombe la Dunia akiwa na magoli 5 lakini lilipokuja suala la tuzo, alipewa Messi.FIFA World XI Nominations
Gerrard 8
Lampard 8
Scholes 2
FIFA World XI Appearances
Gerrard 3
Lampard 1
Scholes 0
UEFA Team of the Year Appearances
Gerrard 3
Lampard 0
Scholes 0
UEFA Player of the year
Gerrard 1
Lampard 0
Scholes 0
Highest FIFA World Player of the Year Finish
Lampard 2nd – one time
Gerrard never in top 3, but very close
Scholes nowhere near top 3
Highest Ballon D’or Finish
Lampard 2nd – one time
Gerrard 3rd – one time
Scholes nowhere near top 3
Premier League Team of the Year Appearances
Gerrard 8
Lampard 5
Scholes 2
Premier League Player of the Month Awards
Gerrard 6
Lampard 4
Scholes 4
Premier League Young Player of the Year
Gerrard 1
Lampard 0
Scholes 0
Journalists’ and Writers’ Premier League Player of the Year
Gerrard 1
Lampard 1
Scholes 0
Players’ Premier League Player of the Year
Gerrard 1
Lampard 0
Scholes 0
Fans’ Premier League Player of the Year
Gerrard 2
Lampard 1
Scholes 0
England National Team Player of the Year
Gerrard 2
Lampard 2
Scholes 0
UEFA Euro Team of the Tournament
Gerrard 1
Lampard 1
Scholes 0
FA Cup Final Man of the Match
Gerrard 1
Lampard 1
Scholes 0
UEFA Champions League Final Man of the Match
Gerrard 1
Lampard 1
Scholes 0
Mimi naamini statistics kuliko maneno ya wachezaji quotes za wachezaji azinisumbui kujua nani bora kioo hakidanganyi
Vipi kuhusu mataji?Nimamalize kwa kusema kulingana na takwimu LAMPARD No1, Gerlard No 2 , schoes 3
Kulingana na wachezaji wanavyosema ,sio mchezaji alichofanya kikaonekana SCHOES No1
Wewe umeshindwa kufata maelekezo. Inadhihirisha jinsi Watanzania wengi walivyo weupe kichwani.Huyu ni zaidi ya hao wote
Ole Gunnar Solskjær