Lampard, Scholes na Gerrard ulimkubali yupi zaidi?

You killed it, safi sana
 
Hv hawa viungo wote walikua wanacheza nafasi zinafanana maana kuna viungo wa aina nyingi. Mfano huwezi kumlinganisha kante na coutinho kwa magoli na assists, coutihno ataongoza maana ni kiungo mshambuliaji, ila ukienda kwenye ball win, tackles nk ataongoza kante maana ni mkabaji. Kuna aina zaidi ya 4 ya viungo huwez kuwafananisha ubora maana wana roles tofauti
 

ndo maana messi alishinda sababu ya takwimu, alikuwa top scorer wa ulaya na assist za kutosha. kumbuka ni mchezaji bora sio timu bora
 
Kuna baadhi ya takwimu zilizo wekwa apa za Lampard na Gerald ata Pele na Maradona hawana. Kwaiyo takwimu pekee si kigezo, mfano Paul Scoles ana mataji mbali mbali 25. mataji 11 ya Primier ligue, 2 ya Ulaya na mengine mengi ambayo ata hao wapinzani wake ata robo ya mafanikio yake hawajafikia.

Mnachokiona magwiji karibu wote wakizazichake wanamkubali ndani ya Ulaya na dunia kwa ujumla. Chakushangaza jamaa ana urefu wa 5"6 lakini alikua anafunga magoli ya vichwa kama wachezaji warefu. Ukimu

ondoa Roy keen kwa ubabe jamaa alikua mfupi mwenye uwezo na mbabe asiye onekana. utofauti wake na wenzake alikua anakaba kwa nguvu na ii ilimsababishia apate kadi zanjano 97 iyo inatuonyesha uyujamaa alikua anakaba lakini katika kipindichake cha uchezaji aliongoza pale Man u kwa kutoa pasiza mwisho.

Mimi binafsi Paul sholes alinikosha kwa utaalamu wa kuunganisha mipira inayo rudi kutoka kwenye goli la wapinzani. Jamaa alikua anaongoza kwa kufunga magoli ya re bound. (Thunder bolt). Sina haja ya kunukuu nukuu za magwiji ila kwa kifupi Itachukua muda primier league na Dunia kumpata scoles mwingine. Unaweza kupata wakina Gerald na lampard lakini sio Scoles.kiungo anaye kaba sana na anayeshambulia sana. Anastaafunayelo97ana magoli 106 magoli ambayo baadhi ya washamuliaji mbaka wanastaaafu hawaja yafikia.
 
Jamani katakwimu vipi ina maana hakuna anayekaona EPL pekee

Schoes
Appearance 499
Goals 107
Assist 41

Gerald
Appearance 445
Goals 98
Assists 78


Lampard
Appearance 555
Goals 166
Assists 92
 
Mimi ni mshabiki wa Liverpool FC, ila hapa sina jinsi ya kutomtaja Paul Scholes!
Uko sawa mkuu, mm ni shabiki mkubwa wa liverpool na shabiki mkubwa wa gerald. ila naweka unazi pembeni.

Scholes ni mkali wa wao..
ana akili nyingi sana awapo uwanjani,
alikua anajua ni wakati gani wa kupiga shuti, wakati gani acheze rafu, mda upi ashambulie na kukaba,
na zile killing pases za mwisho aka telling ball

mi naamini hata xavi pamoja na ukali wake lakini kuna baadhi ya vitu anamzidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…