Lampard, Scholes na Gerrard ulimkubali yupi zaidi?

MORE QUOTES:

Neville refused to make that comparison but says: "I think as a goalscoring midfielder, Frank was the best in Premier League history. You can't take that away. In terms of an influence on one club, you'd probably say Gerrard has been the best in the Premier League.

"It is very difficult to choose because I don't like comparisons but in an individual way, Frank was the best at what he did and, for what he did at Liverpool, Steven was the best at what he did."
 
Kabla sijalala...

Linganisha misimu miwili ya Lampard na Gerrard wakiwa MLS halafu uamue mwenyewe.

Kisha uende kwa Scholes the Premier League darling (ambaye hana stats zozote zinazomzidi Lampard or Gerrard lakini cause he played for Man utd and England and yes, won EPL cups and the UCL, is touted to be the greated based on quotes and never statistics..wonders will never cease)!


Good morning, good afternoon and good night depending na ulipo...
 
Tusigombane mkuu.

Tafadhali angalia post yangu nimemjibu nani...nami nimemquote mtu aliyequote watu.

Hii thread haitokaa ipate muafaka lakini naomba tu tuende kwa amani...huu mchezo hauhitaji hasira mkuu.
Usijali kiongozi no hard feelings... Ila nimejaribu kueleza hizo quotes jinsi hao watu walivyotoa.

Hata hivyo maoni yao hao nguli wote haziwezi kumfanya Gerrard awe bora kwa Lampard.

Lampard amemuacha mbali sana Gerrard kwa takwimu za uwanjani sio kwa maoni ya watu.
 
Henry wa Arsenal
 
Ukishaweka neno 'uwezo wa kuibeba timu inapohitajika' unakuwa umewatoa hao wengine na kubaki na mmoja tu.... Ambaye hata mkiwa wanazi vipi wa timu zenu wooote mnamjua!
 
Discipline, leadership, hardworking, football skills and intelligence, body strength, cool off-pitch behavior, humble...... Na sifa zingine kibao. Huyo ndo Steven Gerrard, hatakuja atokee mchezaji kama huyu pale Liverpool na uingereza nzima.
 
mkuu Paul scholes huwezi kumlinganisha na hao watu ....ni kiumbe cha pekee sana kuwahi kutokea nchini England.
Tuzungumzie kwa hiki kizazi cha sasa lakinimsimalize maneno kama vile katika England hajatokei mchezaji kama yeye kwani kulikua na wachezaji kama Bobby More captain wa England miaka ya. 66 /70mpakasasa hajatokea kiungo kama Hugo na yeye na timu take wameleta kombe la dunia England jambo ambalo kwa sasa wore wanashindwa kuleta kombe na England inaonekana time ya kawaida
 
Mkuu acha utani kama si masihara, toka lini Bobby Moore alikuwa kiungo? Mambo mengine kama hamjui ni bora mkae kimya.
 
Mimi wote nawakubali sanaaa sanaaaaa, nashukuru mungu wote nimewashabikia vya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…