adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Huyo hamjui paulo mkuu kwani ndio mchezaji pekee aliye staafu kisha akarudi tena na ubora wake ule ule nakumbuka pia kuna mechi man U vs Barca ilikuwa friend Mechi Iniesta alipewa tuzo ile mechi lakini yeye akaenda kumpa Paulo Shule .Iniesta hadi Xavi wote wanakiri hamna na hatowahi kutokea kama Paulo ,halafu kuna mtu aliwahi kuniambia kwamba fanya utafiti mashabiki wengi wa chel6 wameanza kufutilia mpira 2008 na wengi wengiwao wanafuata mkumbo tu hawajui chochote kuhusiana na mpira ndio maana wanaropoka tu usishangae kukuambia timu yao inaongoza kwa makombe EplModric ana d'or ambayo Iniesta + Xavi + Gerrard hawana... sjui kama umenielewa.
Usitake kuhalalisha kitu kwa sababu ya kipuuzi.