NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
MmmmhKwa iyo ndio mtakuwa na bandari mbili kama sijakosea, Mombasa na Lamu, bongo kuna ports mtwara, lindi, tanga, kigoma, mwanza na kule ziwa nyasa kule. Iyo ya bagamoyo itakuwa ya mkoa wa Pwani and will be ze largest one ofcoz, meanwhile serikali inarenovate cha tanga kwanza ili iweze kupakia mafuta ya Ug na kupakia mizigo ya Arusha na Moshi ambayo kwa sasa, mingi hupitia Mombasa. Alafu zitarenovatewa zile za kusini kushindana na zile za Msumbiji kwa mizigo ya Zambia etc.
So my point is, threat ya bandari ya Lamu kwetu bongo imeshakuwa eliminated kitambo, how? Bomba la Ug litapita Tanga, meanwhile same Tanga port inapose risk kwenye bandari yenyu ingine ya Mombasa.
Msidhani bongo kuna mabongolala, kelele za bagamoyo zililetwa ili kuwapoteza dira, wakati wanaume tunawatongoza waganda, wamekubali tu, kelele za bagamoyo port zikapoa.
You think it happened accidentaly
Hili ni jibu tosha kabisa!Kwa iyo ndio mtakuwa na bandari mbili kama sijakosea, Mombasa na Lamu, bongo kuna ports mtwara, lindi, tanga, kigoma, mwanza na kule ziwa nyasa kule. Iyo ya bagamoyo itakuwa ya mkoa wa Pwani and will be ze largest one ofcoz, meanwhile serikali inarenovate cha tanga kwanza ili iweze kupakia mafuta ya Ug na kupakia mizigo ya Arusha na Moshi ambayo kwa sasa, mingi hupitia Mombasa. Alafu zitarenovatewa zile za kusini kushindana na zile za Msumbiji kwa mizigo ya Zambia etc.
So my point is, threat ya bandari ya Lamu kwetu bongo imeshakuwa eliminated kitambo, how? Bomba la Ug litapita Tanga, meanwhile same Tanga port inapose risk kwenye bandari yenyu ingine ya Mombasa.
Msidhani bongo kuna mabongolala, kelele za bagamoyo zililetwa ili kuwapoteza dira, wakati wanaume tunawatongoza waganda, wamekubali tu, kelele za bagamoyo port zikapoa.
You think it happened accidentaly
Bagamoyo port sio priority yetu kwa sasa! Nenda Tanga na Mtwara ukaone kazi inayofanyika huko sa hz!Hehehe!! Waache wako busy kuhakiki vyeti, mambo ya Bagamoyo port wala nini hawana muda nayo.
Comment kama hii mkenya lazima akuone mjinga.Tanzania bado tunajenga Chato International Airport, Bagamoyo Project sio muhimu kwa sasa
Magufuli froze that project soon after being sworn in. I remember him saying it is not a priority for now. We have four existing ports that are yet to reach full capacity (Tanga, Mtwara, Dar es Salaam and Zanzibar)A few years ago Kenya announced grand plans to construct Africa's largest infrastructure dubbed LAPSSETT which would see a modern port in Lamu, then poised to be the largest in Africa, served with a modern network of Rail and Roads to all her neighbors. A few months later Tanzania responded with plans for an even grandeur port at Bagamoyo poised to beat Lamu and become the largest on the continent.
To date, works on Lamu port are well on way and construction is doing fine. Bagamoyo however seems stuck. This thread talks of the progress of these two game changers. Please feel free to share information.
Below are photos of Lamu Port Progress.
View attachment 505836 View attachment 505837 View attachment 505838
Kwani uongo?Comment kama hii mkenya lazima akuone mjinga.
Magufuli froze that project soon after being sworn in. I remember him saying it is not a priority for now. We have four existing ports that are yet to reach full capacity (Tanga, Mtwara, Dar es Salaam and Zanzibar)
Kwa iyo ndio mtakuwa na bandari mbili kama sijakosea, Mombasa na Lamu, bongo kuna ports mtwara, lindi, tanga, kigoma, mwanza na kule ziwa nyasa kule. Iyo ya bagamoyo itakuwa ya mkoa wa Pwani and will be ze largest one ofcoz, meanwhile serikali inarenovate cha tanga kwanza ili iweze kupakia mafuta ya Ug na kupakia mizigo ya Arusha na Moshi ambayo kwa sasa, mingi hupitia Mombasa. Alafu zitarenovatewa zile za kusini kushindana na zile za Msumbiji kwa mizigo ya Zambia etc.
So my point is, threat ya bandari ya Lamu kwetu bongo imeshakuwa eliminated kitambo, how? Bomba la Ug litapita Tanga, meanwhile same Tanga port inapose risk kwenye bandari yenyu ingine ya Mombasa.
Msidhani bongo kuna mabongolala, kelele za bagamoyo zililetwa ili kuwapoteza dira, wakati wanaume tunawatongoza waganda, wamekubali tu, kelele za bagamoyo port zikapoa.
You think it happened accidentaly
Hasira za nini?Wakenya mnaligi sana, mbona hamjilinganishi na Ethiopia?
Hebu tokeni zenu
Unavituko weweKwa iyo ndio mtakuwa na bandari mbili kama sijakosea, Mombasa na Lamu, bongo kuna ports mtwara, lindi, tanga, kigoma, mwanza na kule ziwa nyasa kule. Iyo ya bagamoyo itakuwa ya mkoa wa Pwani and will be ze largest one ofcoz, meanwhile serikali inarenovate cha tanga kwanza ili iweze kupakia mafuta ya Ug na kupakia mizigo ya Arusha na Moshi ambayo kwa sasa, mingi hupitia Mombasa. Alafu zitarenovatewa zile za kusini kushindana na zile za Msumbiji kwa mizigo ya Zambia etc.