Lamu and Bagamoyo Ports Progress

Tatizo la bagamoyo ni mkataba.alafu ukiangalia sababu za kuingia hiyo mikataba.zinasikitisha.
 
Wakenya mnaligi sana, mbona hamjilinganishi na Ethiopia?
Hebu tokeni zenu
Hahahaha wana uwivu sana nasi hawa majamaa! Inferiority complex ya hali ya juu!
 

 
In terms of what?mizigo au ukubwa
Cargo handling. Quantity of imports and Exports and overall efficiency. Mombasa handles more cargo than all Tanzanian ports combined and is more efficient.
 
Hehehe!! Waache wako busy kuhakiki vyeti, mambo ya Bagamoyo port wala nini hawana muda nayo.

Ligi nyingine ni zakijinga sana! Tanzania ina Bandari nne (4) nyinyi hiyo ndiyo ya pili mnajenga ambayo ilipigwa chini na bandali ya Tanga.
 
Tanzania bado tunajenga Chato International Airport, Bagamoyo Project sio muhimu kwa sasa
Kweli kabisa kujenga hii ya Bagamoyo sio muhimu kwa "sasa" maana hata hii ya huko nyuma ilikua under utilised sana na over utilised kwa mizigo ya wapiga dili, itakua poa kwanza kuboresha hii ya Dar kuanzia kufanya kazi 24hrs kama alivyo agiza Raisi na mengineo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…