Lamu: Takriban watu 6 wauawa na vijiji kuchomwa moto na wanamgambo wa Al Shabaab

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Takriban watu sita wameuawa na vijiji kuchomwa moto na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabab katika mji wa pwani wa Lamu nchini Kenya.
---
Six people have been killed and homes torched in an attack Monday by suspected Al Shabaab militants in Kenya's coastal Lamu region that borders Somalia, a local government official said.

"I confirm that we had an attack suspected to be by Al Shabaab at a place known as Widhu, and we have lost six people. One was shot dead and we also have others who were burnt," said Lamu County Commissioner Irungu Macharia.

"Our security forces are pursuing them, and we urge support from locals to help us because when we work together we succeed."

Al Shabaab fighters have staged several large-scale attacks inside Kenya in retaliation for Nairobi sending troops into Somalia in 2011 as part of an African Union force to degrade the jihadists.

The al Qaeda-linked group is seeking to overthrow the internationally-backed government in Mogadishu, and controls swathes of southern Somalia from where it regularly launches attacks in the capital and elsewhere.

The Lamu region, which includes popular tourist beach destination Lamu Island, lies close to the Somali frontier and has suffered frequent attacks, often carried out with roadside bombs.

Source: Several people killed in suspected Al Shabaab attack in Kenya
 
Poleni Sana, ila punguzeni uzembe
Tony254
 
Hii dini ya kiislam sio ya Mwenyezi Mungu hii.
 
uzembe gani nawwe!
Muwachage ubishi kwa kila kitu!
Understand that where kenya is geographically ata ikona bahati iko na amani,tumepakana na inchi za vita ambazo silaha ni chakula kwao!
Interms of security Kenya imejaribu yake yote!
Northern Mozambique ni Kama Somalia, walivamia vijiji vya Tanzania na kufanya mauaji, ulishasikia tena tukio Kama hilo kutokea tena?.

Wacheni kucheza na maisha ya watu, kwanini serikali yenu isitengeneze "buffer zone Kati ya Kenya na Somalia?, Ule ukuta mlioanza kujenga uliishia wapi?, Kazi yenu ni maneno matupu bila vitendo.
 
somalia is not like Mozambique! Ata uwawekee ukuta huwezi kuwazuia,utaweka ukuta uzuie wale wa inje jee wale wa ndani?
Vikosi vya jeshi ya kagame viliingia Mozambique na kuuwa hao magaidi wadogo wakujifunza but why hawajafanya hivyo somalia
Somalia na Afghanstan is the same,they are full terrorists!
Na hao kama majirani wetu its a curse to us,they kill for fun!
 
Terrorism is an ideology vilaza wengine hawafahamu hilo, thus u can't fight it with a bullet, it is folly. Also it is difficult to control it, sio ajabu wavamizi ni magaidi wakenya wala sio wasomali., dini ni kitu ovyo sana kuwai tokea kwa hii dunia., God is not religion and religion is not of God, it's a man made philosophy in the name of worshipping "God".., the reason kuna sects and cults all over, and no meaningful change or progress in people's lives.
 
Kwahiyo mlipoanza kujenga ule ukuta serikali yenu haikujua hilo?, Kwanini Alshababu wasishambulie Ethiopia ambayo pia ilipeleka majeshi Somalia kupambana nao?, Wa geni visingizio ninyi ni wazembe Sana, hata internal tribal clashes pia hamuwezi kuzuia, ujambazi unaongezeka kila siku hapo Kenya vyote vinawashinda
 
hiyo ukuta ni bure kabisa ndio maana hawatilii effort kuimaliza!
Somalia wanavamia Kenya sababu ya wivu na dini mbaya!Alafu ujue hawavamii Ethiopia kwasababu huko Ethiopia wananchi huwa wamejiamii na masilaha,kuguzwa tu kidogo wahabeshi watavuka mpaka Somalia kulipisha!
Sisi Kenya serikali haiwezi itikisha wananchi wajiamii kama rebels,ama ulitaka tufanye hivo mnadhani nyinyi mgekuwa na amani!
Kenya we love peace and our goodness is why you call us lazy!
 
Terrorism is an ideology vilaza wengine hawafahamu hilo, thus u can't fight it with a bullet, it is folly. Also it is difficult to control it, sio ajabu wavamizi ni magaidi wakenya wala sio wasomali., dini ni kitu ovyo sana kuwai tokea kwa hii dunia., God is not religion and religion is not of God, it's a man made philosophy in the name of worshipping "God".., the reason kuna sects and cults all over, and no meaningful change or progress in people's lives.
well spoken, big up!!
 
Kama umekubali kwamba uamuzi wa kujenga ukuta ambao Uhuru na Rutto ndio walioambia wananchi kwamba ni njia Bora ya kupambana na Alshabab na hata walipitisha na kutoa pesa ya serikali na ujenzi ukaanza hatimae wakaachia njiani wakati tayari pesa nyingi imeshapote, ni thibitisho tosha kwamba Kenya ni nchi ya hovyo ndio sababu Alshabab wanawachezea hawawezi kuchezea nchi zingine Kama Ethiopia
 
Why Ethiopia is in full control of Alshabab but Kenya can't do the same?, stop your insane excuses Kenya is one among very hopeless countries in Africa
 
Kama umekubali kwamba uamuzi wa kujenga ukuta ambao Uhuru na Rutto ndio walioambia wananchi kwamba ni njia Bora ya kupambana na Alshabab na hata walipitisha na kutoa pesa ya serikali na ujenzi ukaanza hatimae wakaachia njiani wakati tayari pesa nyingi imeshapote, ni thibitisho tosha kwamba Kenya ni nchi ya hovyo ndio sababu Alshabab wanawachezea hawawezi kuchezea nchi zingine Kama Ethiopia
sasa ulitaka aje tuwavamie wasomali huko Somalia??unatuita hovyo sababu ya coward terrorists ambao wanajificha katikati ya raia na kuwahangaisha!
Ata hiyo ukuta ingemalizwa bado wangevamia tuu,wanaeza chimba shimo na kupita chini,na pia usisahau kuwa tunao pia huku Kenya wamejificha!
The only way Kenya inaweza pambana nao kabisa ni ku arm wananchi,do you really want that for your neighbour to roam with guns openly! I guess it will be another problem added,
Ukumbuke pia huku kenya tunavikosi vya pastoralists ambao ni very dangerous uliza museveni!
Ama wwe ungetaka tufanyeje???Kindly Tell us your brightness
 
Mbona Israel imefanikiwa kuwadhibiti Hamas kwa kujenga ukuta?, Kumbuka ukuta unaweza kudhibiti "Intruders" by 8O%, hao watakaochimba ardhini ni wachache ambao ni rahisi kuwadhibiti.

Tatizo kubwa ni Alshabab wanaoingia na kushambulia Kisha kurudi Somalia, hao walioko ndani ya Kenya bila kuwa na "direct communication na Somalia hawawezi kupata mafunzo na silaa za kufanya mashambulizi, ukweli ni kwamba ukuta ungepunguza Sana hayo mauaji, tatizo la serikali na viongozi wa Kenya ni "Mediocres", hawajitambui nini wanataka na kipi wanaweza kufanya.

Haiwezikani serikali kupitisha mradi na kutoa pesa baadae kuachana na huo mradi wakati pesa za nchi zimeshatumika, huo ndio ujinga wa viongozi wenu kwa muda mrefu, "They spend less on planning, as the result they can't implement what they are planning".
 
kila kitu ambacho umesema ni vyema kabisa,ukuta unaweza saidia,alafu kuwe na armed surveillance personel ambao watachapanga patrol

Shida ni moja Kenya na israel ziko different geographically,Israel ni kasehemu kadogo ata kama Rwanda,kujenga ukuta ambao unawazingira ni rahisi,ona mpaka america hawajamaliza kujenga ukututa kwasababu ya bei na bado hiyo ukuta penye wamefikisha bado immigrants wanatoboa na wengine kuchimba mashimo ili wapite
Alafu ata Kenya ikijenga ukuta upande wa Somalia,bado silaha haramu zinaweza kufikia wahuni walio ndani ya kenya kwa kupitia Border ya Ethiopia,Sudan na Uganda,
So as To totally finish or decrease terrorism in Kenya we have to deal with it in Somalia first,to make our border secure,huwezi kujificha shida kwa kuweka pazia wahenga walisema
 
Back
Top Bottom