Waheshimiwa salaam
Naomba kujua iwapo kifungu cha 5(2) cha sheria hii kama kimefanyiwa marekebisho yoyote na lini?Kwa ufupi kifungu hicho kinasomeka hivi
Kama kifungu hiki hakijafanyiwa marekebisho ya kisheria,je hapa siyo kuingilia kazi za mhimili mwingine?
Je Haki ya msingi ya mtu mwenye mali haiporwi kwa maamuzi ya mkuu wa mkoa ambaye ni mteule wa Rais? Je kifungu hiki hakiendi kinyume na sheria mama?
Nawasilisha kwa msaada wenu
Naomba kujua iwapo kifungu cha 5(2) cha sheria hii kama kimefanyiwa marekebisho yoyote na lini?Kwa ufupi kifungu hicho kinasomeka hivi
"(2) As soon as conveniently may be after any entry made under subsection (1), the Government shall pay for all damage done in consequence of the exercise of any of the powers conferred by subsection (1),and, in the case of a dispute as to the amount to be paid, either the Minister or the person claiming compensation may refer such dispute to the Regional Commissioner for the region in which the land is situate and the decision of the Regional Commissioner shall be final".