darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
Ilikuwa Inauzwa Milioni 160 Nakumbuka VizuriIlipotoka mwaka 1999 iliuzwaje kipindi hicho? Kwa bei ya kiwandani?
Ungeuliza Kwanza Kwa Sababu Hali Ya Soko Jinsi Lilivyo Ni Tofauti Kabisa Na Mahesabu Yako Hayo Unayopiga Kichwa KwakoGari yenye umri sawa na mama wa watoto 3, ndio uuze 78M?
Khaaah. 😂😂😂
Ukikuta wenye hela zao toka Mererani wanaweza kukupa Tsh 50 M, lakini wenye akili hapo ni kati ya 25 na 30.Bei/Price🏷️👉🏾TSH 78M
Call📞+255 747 999 927
LAND CRUISER 100 SERIES VX LIMITED
Year: 1,999
Engine: 4.2L
Mileage: 102,000+
Fuel Used⛽: DIESEL
Transmission: AUTOMATIC
✨Sunroof
✨Leather Seats
✨Full-Time 4WD
✅Clean Interior
✅Well-Maintained
✅Swap Deals Available
Asante Kwa UshauriUkikuta wenye hela zao toka Mererani wanaweza kukupa Tsh 50 M, lakini wenye akili hapo ni kati ya 25 na 30.
Otherwise kauze kwa kukata spea
Hata km ni sio hiyo Bei, 😂😂😂Ungeuliza Kwanza Kwa Sababu Hali Ya Soko Jinsi Lilivyo Ni Tofauti Kabisa Na Mahesabu Yako Hayo Unayopiga Kichwa Kwako
Iyo Ni 1HD-T BrotherMkuu hiyo ni 1HD-FTE au 1HD-T?