darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
Nimeweka Plus KiongoziHow comes,
Cruza namba A afu iwe imetembea km 150,000 TU.
Au mi ndo mshamba!🤔
BY THE WAY, KILA LA HERI MKUU🤝
Hahahahaaaa!! Ya Kijana Mdogo Wa Miaka 30 TuHii gari itakuwa ni ya mstaafu wa serikali.
Hapo freshNimeweka Plus Kiongozi
Ilikuwa Ofisini Kwetu Sinza Ila Tumeshauza✅Iko wapi mkuu,
Ningeshangaa kama ingechelewa kuchukuliwa kwa jinsi ilivyo na bei.Ilikuwa Ofisini Kwetu Sinza Ila Tumeshauza✅