Well,Naomba kuuliza.
Kuna Land Cruiser Prado mbili zote za 2001, zote ni automatic, 90 series, rangi tofauti (nyeupe na silver), kilometer moja ni 65,000 na nyingine 88,000, lakini moja ni Petrol Engine 2.7 L na nyingine ni Diesel Engine 3.0 L. Kitaalamu ipi ni gari nzuri ya kununua? Petrol au Diesel katika hizo mbili? Ukizingatia kwamba matumizi yake ni bongoland.
Sure, nunua ya Petrol service zake ni cheaper than that of diesel.
Naomba kuuliza.
Kuna Land Cruiser Prado mbili zote za 2001, zote ni automatic, 90 series, rangi tofauti (nyeupe na silver), kilometer moja ni 65,000 na nyingine 88,000, lakini moja ni Petrol Engine 2.7 L na nyingine ni Diesel Engine 3.0 L. Kitaalamu ipi ni gari nzuri ya kununua? Petrol au Diesel katika hizo mbili? Ukizingatia kwamba matumizi yake ni bongoland.
Mkuu Gari Petroli ni nzuri zaidi kwa gari ndogo ambayo injini yake isizidi cc 2000,but for 4x4 with cc 2700 itakuua kwenye kuliendesha,ni kweli service za Diesel ziko juu zaidi ya gari ya petrol,but service huwa inafanyika mara chache zaidi kuliko kujaza mafuta kwenye tank,mie nakushauri chukua hiyo ya diesel,nawakilisha!!!!
Thanks for all who contributed/responded to my request. I have leanrt a lot through your experiences and knowledge.
Through, this I have changed my earlier thinking and decided to take a Diesel one.
Thanks guys for your time.