darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
Maini Ya Ngisi HayoChuma kabisa hiki
We ndo hujamuelewa. Ilinunuliwa Toyota dealer ikiwa 0Km. Alienunua,kaitembelea Km 38,000. Kwa maana, si used from Japan au kwingine, mmiliki ni mmoja baada ya kuinunua.Una akili ndogo sana, 0km halafu 38,000km.
Imefanya kila mtu atilie shaka kila kitu ulichoandika.
Mmevurugwa na maauaji ya KMKM?
Una akili ndogo sana, 0km halafu 38,000km.
Imefanya kila mtu atilie shaka kila kitu ulichoandika.
Mmevurugwa na maauaji ya KMKM?
Haya ndio magari ya serikali yanayoibiwa kijanja serikali inapoagiza kutoka Toyota Japan. Yako mengi yameibiwa kwa ujanja ujanja na senior civil servants wakati huu wa serikali ya Samia!!!Haina historia haramu?
Asante Sana Kaka Shida Ya Uyo Jamaa Ni Ujuaji Na Asipofanyia Kazi Huenda Ikamgharimu SanaWe ndo hujamuelewa. Ilinunuliwa Toyota dealer ikiwa 0Km. Alienunua,kaitembelea Km 38,000. Kwa maana, si used from Japan au kwingine, mmiliki ni mmoja baada ya kuinunua.
HapanaHii siyo ya watekaji kweli
Iyo Imenunuliwa Toyota Tanzania Ikiwa Zero Kilometa Na Ina Rekodi Nzuri Na Safi Hata Ukienda Pale Wanaweza KukupatiaHaya ndio magari ya serikali yanayoibiwa kijanja serikali inapoagiza kutoka Toyota Japan. Yako mengi yameibiwa kwa ujanja ujanja na senior civil servants wakati huu wa serikali ya Samia!!!

Dah bila coment yako nilishawaza hesabu nyingi sanaUna akili ndogo sana, 0km halafu 38,000km.
Imefanya kila mtu atilie shaka kila kitu ulichoandika.
Mmevurugwa na maauaji ya KMKM?
*****Hizi sasa ndiyo gari. Siyo unamiliki vits, IST, corolla, Carina TI, na vi baby walker vingine; eti na wewe unajiona unamiliki gari! Yaani unavimba kabisa mbele za watu huku ukichezea ufunguo! Bora hata mimi mwaka wa 40 huu namiliki Phoenix. Hata sina ugomvi na mtu.