Car4Sale Land cruiser vx

hanc j

Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
98
Reaction score
30
OFA OFA OFA
Land cruiser model 1999
Full vibali
Haidaiw kitu chochote
Full ac
Haijawai kupata ajali
Mkoan pia tunakuleta kama tukielewana bei
Rim sports
Music system
1HZ engen cc 4100
Km 41091
BEI 27500000
Mi ndo mmiliki piga namb
*Tigo 0718079362
voda 0743553553
Tafadhan piga sim kwa maswali na ofa yako

 
1HZ engen cc 4100
Km 41091
BEI 27500000
Mi ndo mmiliki piga namb
*Tigo 0718079362
voda 0743553553
Tafadhan piga sim kwa maswali na ofa yako


Kama kweli gari ina kilomita 41,000 basi bei ni poa sana, tena ni fairly new kwa Land Cruiser... tena ni new kimatumizi, sio new ya plate namba A, B, C, D..... kwa tafsiri za gari mpya kibongo bongo

Tatizo ni kwamba kuna uwezekano Odometer imechezewa, gari ya mwaka 1999 bado ina kilomita 41,000?

I smell a rat.
 
Hpn kaka gar haijatumika sana na ilikuja na kilomiter 0
 
Gari nzuri ofa yangu 20 Mil lkn lazima nitaipeleka kwa fundi wangu kwanza kabla yakufanya malipo. Nasubiria mrejesho wako.
 
Hebu kwanza.... Gari ya 1999 imetembea km 41,000 tu??

Really??? Au odometer ina mushkeli???

Maana hii ni chini ya km 200 kwa mwezi!!
 
Hebu kwanza.... Gari ya 1999 imetembea km 41,000 tu??

Really??? Au odometer ina mushkeli???

Maana hii ni chini ya km 200 kwa mwezi!!
Acha uwongo soma vizuri wala uja andikiwa km 41,000 umeandikiwa Gari ina cc 4,100.
 
I weje ilikuja mpya namba c ni za miaka kuqnzia alf2012 nq hiyo ni gari ya 99 ilikuwa tuu imekaa Japan Hongera hiyo gari haipungui km laki3
 
Hicho nami nimehisi kitu... Ingekuwa vitz sawa ila kwa mashine hiyo haikuwa na safari mmhh
 
HII GARI MWENYE NAYO AMEPANDISHA KIAS HICHO? SI YA MH MMOJA WA CHADEMA,,,
Kwahyo bei kama ameshaitengeneza basi sawa,ila kama bado iko vilevile basi ni mil 12 ambayo alinitajia mwanzo...
 
Acha uwongo soma vizuri wala uja andikiwa km 41,000 umeandikiwa Gari ina cc 4,100.
Hivi vyeti vya kibashite shida sana...

Unajua tofauti ya cc 4,100 na km 41,091??

Au umekimbilia ku comment bila kusoma bandiko lote??
 
Mkuu wapi wameandika KM 41,000? Mimi naona CC 4100
 
Inategemea matumizi ya mtumiaji
 
I weje ilikuja mpya namba c ni za miaka kuqnzia alf2012 nq hiyo ni gari ya 99 ilikuwa tuu imekaa Japan Hongera hiyo gari haipungui km laki3
Nilitaka kumuuliza swali kama hilo huyu muuzaji, haiwezekani kwa namba za usajili za hiyo gari na year of manufacture awe aliipata ikiwa na 0 kilometres.Awe mkweli tu amerudisha nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…