Car4Sale Land cruiser vx

Yan kwa uongo huu ety km 40091 hata huez pata mjinga hata mmoja. Iv umeona wote humu mbulula sio? Jiongeze kialili ili ujue kula na vipo sio wiz wa kiboya namna hii
 
Rat in the kitchen (ub40)
 
Mwenye fedha afanye mazungumzo hiyo gari nzima kwa kuangalia picha + 1HZ Engine.Halafu wapendwa,Gari huwa ni body siyo hizo mileage mnazoangahika nazo.Engine kama imechoka unatoa unapachika nyingine lakini body ikichoka kuipata ni kazi.Kuna mtu humu ameongea pointi ya muhimu sana gari,hutegemea na matumizi ya mmiliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…