Car4Sale Land Lover Defender inauzwa

Cc 3000
Diesel
Bei 16,000
Ipo Dsm Temeke
Mawasiliano 0673728756
Weka Mafuta


 
Rekebisha haraka hapo kwenye bei tafadhali!
 
Kweli we ndio mwendo kasi haswa... yaani upo kasi kweliii....LAND LOVER kwa 16,000 ilo ni toleo jipya nadhani🤔
 
Nikurushia tsh 18,000 pamoja na ya kutolea Kisha naifwata hiyo land lover
 
Kwa bei hiyo itakuwa ilikula mzinga. Naona inang'aa na rangi mpya
 
Hiyo Land Rover inatumia injini ipi yenye 3000cc diesel.

Ungetaja ni Td200,Td300 au Td5 hizi zote ni Diesel zipo Kwenye Land Rover Defender na zina 2500cc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…