Land o'lakes, inc.

reandle

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Posts
11,166
Reaction score
8,148
waungwana, naomba msaad wa taarifa kama kuna mwenye contact information za shirika linaloitwa Land O'Lakes, Inc. (International Dvt). Hawa jamaa wametangaza nafasi za kazi mbalimbali kupitia Mwananchi Sept 18, 2010. Sijui endapo walisahau au ni kosa la uchapishaji; kwenye tangazo husika hamna contacts zozote zizlizotolewa au any application guidelines. I am conviced kwamba tangazo husika sio "sparm" therefore kama kuna mwenye more information, plz zidondoshe hapa or to nasdaz@yahoo.co.uk..


Kwa faida ya wengine, nafasi zilitolewa ni pamoja na Finance & Grants Manager(Accounting), Monitoring % Evaluation Specialist(Agribusiness), Technical Cordinator(Agribuisness), Program Assist(Agribusiness), Coop & Bus Dvt Specialist, Processing& Quality Assurance Spec. , Lead Animal Health & Breeding Spec. n.k
 
 
Mkuu tafuta gazet la Mwanachi la leo tarehe 20/9/2010 ukurasa wa 16 utaona tangazo lao
 
 
MKUU WAMETOA ANUANI ZAO,NAKUMBUKA ADRESS ZAO ZINASEMA WAPO ARUSHA,LABDA ULIKUWA SPIDI SANA HUKUPERUZI MPAKA MWISHO.Thanx for info mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…