Land Rover 109

Land Rover 109

Dah kuna muhindi mmoja kauza juzi tena bei ya kutupwa alikuwa anataka 3.5m
 
Nenda moshi au arusha kule nilikutana nazo za kumwaga na ziko poa kinoma.
 
kuna jamaa kanambia anauza ya mwaka 1982 ni automatic, full ac. alloy rims. imetembea km 2,000,889 tu ipo fresh haisumbui kitu funguo mara moja. fulltime four wheel drive. rangi nyeus . anasema bei ni million 12 ila anaweza kukupunguzia. land rover 109 ya mwingereza mwenyewe kaka, kitu chuma kitupu ni gari imara sana.
 
Back
Top Bottom