kuna jamaa kanambia anauza ya mwaka 1982 ni automatic, full ac. alloy rims. imetembea km 2,000,889 tu ipo fresh haisumbui kitu funguo mara moja. fulltime four wheel drive. rangi nyeus . anasema bei ni million 12 ila anaweza kukupunguzia. land rover 109 ya mwingereza mwenyewe kaka, kitu chuma kitupu ni gari imara sana.