Car4Sale Land Rover Discovery inauzwa bei Rahisi

Car4Sale Land Rover Discovery inauzwa bei Rahisi

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,585
Reaction score
1,771
1997 Land rover discovery inauzwa
Transmission: Manual
Fuel: Diesel
Other: CC 4000 TDI
Vitu vyote kwenye gari ni vizima kasoro engine tu ndo ambayo inahitaji replacement
Bei ya engine mpya ni 3,000,000/= na zipatikana
Ipo Mwanza

Motor vehicle na insurance vimeisha Mwezi wa sita mwaka huu

Bei ya kuuzia ni Milioni 7.5

Karibuni
IMG-20151010-WA0047.jpg

IMG-20151010-WA0045.jpg

IMG-20151010-WA0046.jpg

IMG-20151010-WA0044.jpg

IMG-20151010-WA0049.jpg

IMG-20151010-WA0051.jpg

IMG-20151010-WA0052.jpg

IMG-20151010-WA0053.jpg

IMG-20151010-WA0054.jpg

IMG-20151010-WA0055.jpg

IMG-20151010-WA0041.jpg
 
1997 Land rover discovery inauzwa
Transmission: Manual
Fuel: Diesel
Other: CC 4000 TDI
Vitu vyote kwenye gari ni vizima kasoro engine tu ndo ambayo inahitaji replacement
Bei ya engine mpya ni 3,000,000/= na zipatikana
Ipo Mwanza

Motor vehicle na insurance vimeisha Mwezi wa sita mwaka huu

Bei ya kuuzia ni Milioni 7.5

Karibuni
View attachment 297273

are you sure ni cc4000tdi?? nyingi huwa cc2500tdi au cc4000 petrol v8.
 
Aisee......nimependa hapo ilipo jerrycan na hiyo sijui jeki.......spare tire sasa hilo la juu.........aluu........

chukua mkuu ukiwa unaenda salimia nyumbani hupati shida gari ya kazi
 
Umeshamuambia huyo chalii kwenye picha gari inauzwa? Maanake hakawii kunikuta level 8 nimepaki akaanza kupiga kelele...gari ya dadii ileeee!! Mbona hujarudisha!!
 
Umeshamuambia huyo chalii kwenye picha gari inauzwa? Maanake hakawii kunikuta level 8 nimepaki akaanza kupiga kelele...gari ya dadii ileeee!! Mbona hujarudisha!!

anajua mkuu
 
Duh 😳😳
Mwenye gari mtu wa mbwembwe sanaa.

Hiyo ukiendesha Dsm utawapiga pasi balaaa.
 
Duuu hyo engine ni kubwa sana cwezi kumudu gharama zake ila naikubali sana CMC motors wanamagari yaukweli balaa.
 
Back
Top Bottom