yah mkuu gari ya kazi
Duh gari imepambwa balaaaa
1997 Land rover discovery inauzwa
Transmission: Manual
Fuel: Diesel
Other: CC 4000 TDI
Vitu vyote kwenye gari ni vizima kasoro engine tu ndo ambayo inahitaji replacement
Bei ya engine mpya ni 3,000,000/= na zipatikana
Ipo Mwanza
Motor vehicle na insurance vimeisha Mwezi wa sita mwaka huu
Bei ya kuuzia ni Milioni 7.5
Karibuni
View attachment 297273
Khaa!! Kazi gani unaweza kuifanyia hiyo gari mkuu?yah mkuu gari ya kazi
ShipaDuh gari imepambwa balaaaa