Land rover namba C inauzwa

MKUU HII SI NI ILE ILIYOTUMIKA KWENYE gods must be crazy?????!!!aiyaaa iyaaa iyaaa iyaaaa
Ndiyo hiyo mkuu ila kitu mang'anyu namba c....unabadili tu gearbox na engine kisha popote inakwenda.
 
km 39000670
Ilikuwa inadaiwa Tra milioni 30 lakini usihofu deni limefutwa, chombo ipo safi bei maelewano tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii mashine kama aloigizia yule mzungu wa Bushmen, ayayayayayayayah yayayayah
 
Mkuu yaani huku kwetu bukoba hyo inauzwa laki mbili na imejaa mikungu ya ndizi lakini bado watu hawanunui
 
km 39000670
Ilikuwa inadaiwa Tra milioni 30 lakini usihofu deni limefutwa, chombo ipo safi bei maelewano tu.
Mkuu.....
Naomba unitumie picha ya ubavu, ndani na kwanyuma.
Pia naomba uweke bei yake tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…