Landcruiser 80 generation, Gasoline/Petrol ni ugonjwa wa moyo!

Hizi ni generation/toleo la mwazo kabisaa
 
Nimecheka saana man,,,,,,,kiukweli kama uwezo unakuwepo....haya ndiyo magari yenye uwakika saana hasa katika shughuri zetu kiafrika....
Kweli mkuu mtu unakuta kavimba kwenye kigari kinachoishia magotini tu

Hizi ndiyo gari za kununua sema vyuma tu
 
ila mimi mwenye landcruiser 70 anitarifu mapema tufanye barter trade
 
Photo ilikuwa zamani mkuu, diesel za siku hizi zina offer the best of both worlds , ukitaka mbio imo, ukitaka performance pia IPO ,Na yet ni, economical,
Sorry typing errors , nilimaanisha hiyo ,not photo
 
Photo ilikuwa zamani mkuu, diesel za siku hizi zina offer the best of both worlds , ukitaka mbio imo, ukitaka performance pia IPO ,Na yet ni, economical,
Hapana mkuu,though modern cars za diesel wanajitahd kuimprove lkn bado purpose ya diesel ni kua more economical zaidi rather than performance.
 
sijawahi ipenda land cruiser yoyote my love is for nissan patrol and chev
 
Gari ninayoahangaika kuipata ni land rover defender tdi itanifaa sana kwa safari zangu za porini.
befoward hizi gari hawana kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…