matheus lazaro
Member
- Aug 1, 2013
- 42
- 15
Ni manual ya mwaka 2005 na ilikuwa inatumiwa na mwanasiasa ambaye amemaliza muda wake hivyo kuamua kuuza kilicho chake na imetembea 300000km mpaka sasa iko barabarani.nitawawekeeni picha hapo baadaye na bei 40m pungufu unaongea.