matheus lazaro
Member
- Aug 1, 2013
- 42
- 15
Mkuu natafuta namna yakuweka picha maana ziko whatsapp na capata namna yakuweka ila nitajitahidi au unaweza kunichek kupitia namba 0712672210 ili uchek ubora wa mahali yenyewe mbali nakuwa km nyingi maana ni mashine au gari ya kazi kila maeneo inaingia wakati wa mvua au kiangazi.nichekWeka picha tafadhali
Mkuu natafuta namna yakuweka picha maana ziko whatsapp na capata namna yakuweka ila nitajitahidi au unaweza kunichek kupitia namba 0712672210 ili uchek ubora wa mahali yenyewe mbali nakuwa km nyingi maana ni mashine au gari ya kazi kila maeneo inaingia wakati wa mvua au kiangazi.nichek
Ni pick up au hardtop?Ni manual ya mwaka 2005 na ilikuwa inatumiwa na mwanasiasa ambaye amemaliza muda wake hivyo kuamua kuuza kilicho chake na imetembea 300000km mpaka sasa iko barabarani.nitawawekeeni picha hapo baadaye na bei 40m pungufu unaongea.