antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Wakati ule B-2 Bombers zinafanya usafi Iran, Trump alimwambia Ayatollah kuwa anajua shimo alimojificha, kwani alikuwa amemuomba kibali kabla?Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??
"Bora kukosa mali kuliko akili, kwani elimu ni bahari haina mwisho"
Kwani kipindi cha vita Israel na Iran zile video za Satellite zilikuwa na kibali chochoteIli kuweza kurusha satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahisika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??
Mkuu hujui satellites ni nini, hapa tunavyozungumza kunamaelefu ya satellites yapo juu ya anga la Tanzania maeneo yote. Sio Tanzania tu kwa dunia yote satellites huzunguka na kutoa pichaWewe ni kilaza ...zipo sheria za kimataifa na kitaifa zinazosimamia...
Hawa machawa elimu hawana. Anahisi satellites ni drones. Hajui kuwa hata hapa tunavyozungumza kuna maelfu ya satellites juu ya angaKwani kipindi cha vita Israel na Iran zile video za Satellite zilikuwa na kibali chochote
Hiyo ni google satellite siyo ya CCM na inakibari na nchi kubwa wanaweza kuficha CCM ila wakijichanganya CCM na msenge msingwa,muriro kubisha kuna drone zilikuwepo mpaka CNN wametuma kuwa ukweli wanatafuta makaburi haya.Ili kuweza kurusha satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahisika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??
Hizi ni satellite zilizotuzunguka, waambiwe tu wakienda kufukua makaburi watazidi kujichoreshaHawa machawa elimu hawana. Anahisi satellites ni drones. Hajui kuwa hata hapa tunavyozungumza kuna maelfu ya satellites juu ya anga
wakaonesha kanisa na drone zao ila hawa samuya wanakaziUnakuta huyu ndio kipanga kuliko wote wamemtuma alete huu uzi.
Nina uhakika mna magroup ya UWT, Wazazi na UVCCM, kungekuwa kuna yeyote mwenye akili huko ungeweka hili swali kule labda wangekujibu kabla haujaja kujiabisha humu.
Maana yake mmepostiana huko mkaona ni swali la msingi kabisa ulete humu kama njia ya kuondoa credibility ya report ya CNN.
🚮
Hajui satellites ni nini, anafikiri satellites ni drones. Hajui kuwa akifungua Google map kile anachokiona ni picha za satellites, hajui kuwa hata anavyotumia bolt au Uber zile ramani ni picha za satellitesUnakuta huyu ndio kipanga kuliko wote wamemtuma alete huu uzi.
Nina uhakika mna magroup ya UWT, Wazazi na UVCCM, kungekuwa kuna yeyote mwenye akili huko ungeweka hili swali kule labda wangekujibu kabla haujaja kujiabisha humu.
Maana yake mmepostiana huko mkaona ni swali la msingi kabisa ulete humu kama njia ya kuondoa credibility ya report ya CNN.
🚮
Kuuwa watu ndio right to privacy?Ili kuweza kurusha satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahisika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??
Mmeshamuelemisha bure, now ataenda kifua mbele kuwatambia wenzie since ku-gugo huko kwao ni kosa la jinai.Hajui satellites ni nini, anafikiri satellites ni drones. Hajui kuwa akifungua Google map kile anachokiona ni picha za satellites, hajui kuwa hata anavyotumia bolt au Uber zile ramani ni picha za satellites
Haelewi kabisa satellites ni nini
Umesoma? If so, huko shuleni mlikuwa mnajifunza ujinga?Ili kuweza kurusha satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahisika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??