Landing Rights for satellite launching in Tanzania

Mtafute mwanasheria mkuu kilaza wa serikali na DPP mkafungue kesi kwenye mahakama za kimataifa.
 
Akili inyaaaa hizi👆
 
Usikute wewe una mamlaka makubwa ofisini Kwa akili hizi ?Tanzania tunashida sana Asilimia kubwa ya wenye mamlaka wanauwezo mdogo wa kielimu na akili?

Kama wewe ni miongoni mwa washauri wa Rais basi Tanzania kunashida kubwa
 
 
Hii ndo ile iliyojaza kamasi kwenye ubongo, hata kutumia akili kisoda hawezi. Mbuzi kama mbuzi!
 
Ahh kmamae, wangese kama huyu mtoa mada asiye na akili timamu ndio wanapendwa na ccm.

Huu ni upumbavu gani umeandika.
jadili mada usijidai unajua matusi,kwa ukongwe wangu humu JF nishatukana sana na nimeacha
 
Nashukuru umekiri kibali kinahitajika.
MIMI SINA KIBARI WEWE UNAJIFAHAMU UNAKUMBUKA UNARAFIKI YUPO UJERUMANI NA MDINI MWENZAKO NA HUYO JAMAA ANAITWA ROCK ... KWENYE MTANTADAO WA KIJAMII.
 
🤣🤣
 
Vilaza kama hivi ndio mtaji wa chama pendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…