Eh ☝️😭😅😅😅😅😪😫Ili kuweza kurusha satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahisika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??
Wewe huna unachojua kabisa. Satellite nazo zinahitaji vibali huwezi kujifanyia tu. Zipo sheria za kimataifa zinazosimamia satellite landing rights. Mleta uzi kauliza swali la msingi sana ila nyie misukule ya Lissu na Mange mnakurupuka kutukana na kujibu msiyoyajua.Wewe ni mjinga kabisa. Huna maarifa.
Satellites zipo juu ya anga la Tanzania na dunia nzima na zinachukua picha masaa 24 na huhitaji kibali chochote.
Mkuu ni nini hii umeandika? Landing right ni kwa vyombo vya usafiri angani vinavyotaka kutua kwenye ardhi yetu.Ili kuweza kurusha satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahisika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??
Mkuu kwani hujui huyu ni JINGA LAO?Hivi walitumia "land" kurusha" satellite kumbe? Nisaidieni maarifa wandugu! Sikujua km cnn walikuja kurusha satellite wakati damu zinatirirka
Nakuuliza tena, huko shuleni mlikuwa mnafuta ujinga au mnaongeza ujinga?wewe umesoma kweli?Nimekuletea mada kwa nini usichukue muda kugoogle na kujifunza halafu uje kukosoa?
Au akaangalie video za tsunami or anafikiri CNN walikua na camera zao wanarekodi matukio??Nakuuliza tena, huko shuleni mlikuwa mnafuta ujinga au mnaongeza ujinga?
International law (specifically The Outer Space Treaty of 1967) established outer space as a "global commons" and allows for the exploration and use of space by all states without discrimination. This means satellites can legally orbit and collect imagery of any country without prior consent.
Unakuta huyu ndio kipanga kuliko wote wamemtuma alete huu uzi.
Nina uhakika mna magroup ya UWT, Wazazi na UVCCM, kungekuwa kuna yeyote mwenye akili huko ungeweka hili swali kule labda wangekujibu kabla haujaja kujiabisha humu.
Maana yake mmepostiana huko mkaona ni swali la msingi kabisa ulete humu kama njia ya kuondoa credibility ya report ya CNN.
🚮
Mkuu satellites zinahitaji landing rights? Unaelewa maana ya landing? Landing ni kutua, satellites zinahitaji haki ya kutua ili iweje? Zinatua kwenye nini wakati satellites zipo angani muda wote? Au unahisi satellites ni ndege?Wewe huna unachojua kabisa. Satellite nazo zinahitaji vibali huwezi kujifanyia tu. Zipo sheria za kimataifa zinazosimamia satellite landing rights. Mleta uzi kauliza swali la msingi sana ila nyie misukule ya Lissu na Mange mnakurupuka kutukana na kujibu msiyoyajua.
Umenikumbusha kuhusu Edward SnowdenMwaka 1998 walipolipua ubalozi wa US Tz na Kenya. uS walikuwa wanasikiliza simu za watu wote bila kujali ni za nani Wala nani. Baadaye wakapunguza diameter ya kusikiliza ikawa Ina kava maeneo yaliyo karibu zaidi na ubalozi wao mpya. Lakini kwa mwenye akili anajua eneo lote la kawe, kinondoni oysterbay na morrocko wansikia kila kitu around hilo eneo. Kwao usalama niuhimu kuliko privacy ya mmakonde na mzaramo.
Mkuu hivi hata maana landing unaelewa kweli? Landing ni kutua, satellites zinatua wapi? Zinatua ili iweje?yaani nijue kuhusu landing rights nishindwe kujua google map?umesomea wapi wewe?
Haelewi hata landing maana yake niniMkuu ni nini hii umeandika? Landing right ni kwa vyombo vya usafiri angani vinavyotaka kutua kwenye ardhi yetu.
Kwa Satellite ziko anga za juu ambapo ni Universal space, kila mwenye uwezo kitaaluma anaweza kutundika kionambali chake na kuangaza Dunia ili kuona madudu kama yale ya uchaguzi wa Hangaya. 😲
Tuna upungufu wa Great thinkers humu jamvini ...swali langu ni la kimantiki lenye kuhitaji jibu la kinaWewe huna unachojua kabisa. Satellite nazo zinahitaji vibali huwezi kujifanyia tu. Zipo sheria za kimataifa zinazosimamia satellite landing rights. Mleta uzi kauliza swali la msingi sana ila nyie misukule ya Lissu na Mange mnakurupuka kutukana na kujibu msiyoyajua.